Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Wenye kunihukumu poa tu
Kila mwezi nikiwa heat huwa nawashwa kucheki ngono mtandaoni.
Nikishamaliza najuuta mpaka basi
Nikiwaza kugegedwa live naona hapana sio kwamba sitongozwi sema Mimi tu nimeamua sitoi papuchi yangu.
Nifanyeje wakuu niachane na dhambi hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
kwanza pole sana, ila hongera kwa kuwa wazi na kuonyesha hitaji la kubadilika. Wenye ushauri mzuri wanakuja, ila ni vyema ukijiweka busy hasa wakati wa zile siku unazokuwa hot sana mwili unapoonyesha matamanio ya kikunio.
 
End of the movies Tango au ndizi inahusika hapo, au huwa unatumia vidole kuitesa papuchi. Sio fair , njoo PM nikupe Dawa ya kuacha hayo mambo
 
Karibu kutafuta kitu cha kujiweka busy pale unapokua heat..mfano badala ya porn angalia series ya kawaida.toka japo mtaani tembea tu kujirudisha kwenye hali ya kawaida.
Pika...we chukua hata nguo piga pasi.soma kitabu au gazeti.in short Fanya jambo lolote Litalokusahaulisha mawazo ya ngono na kuangalia porn.

Hata kubwa zaidi ni kufuta kila chanzo cha porn..kama kuna video kwenye simu futa..kwenye PC futa..CD vunja.

Nliwahi kuwa mhanga wa jaribu kama lako nkalishinda.hata bila ya mwanaume nipo okay.third year papuchi imefunikwa.

Ukiamua unaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakupa ushauri wa kitaalamu. Ni kwamba huwezi kuacha huo mchezo mpaka ukunwe, na vile unajifanya kubania hiyo k huo mchezo ndio utakuharibu kabisa akili yako, utapata ulemavu.

Tafute mwanaume wa kukukuna hata mara 3 kwa wiki akutoe kwenye hilo jangwa dada utakuja kufa na kiu. Mimi nipo single naomba tusiwasiliane...
 
Karibu kutafuta kitu cha kujiweka busy pale unapokua heat..mfano badala ya porn angalia series ya kawaida.toka japo mtaani tembea tu kujirudisha kwenye hali ya kawaida.
Pika...we chukua hata nguo piga pasi.soma kitabu au gazeti.in short Fanya jambo lolote Litalokusahaulisha mawazo ya ngono na kuangalia porn.

Hata kubwa zaidi ni kufuta kila chanzo cha porn..kama kuna video kwenye simu futa..kwenye PC futa..CD vunja.

Nliwahi kuwa mhanga wa jaribu kama lako nkalishinda.hata bila ya mwanaume nipo okay.third year papuchi imefunikwa.

Ukiamua unaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri nitajaribu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom