Nina uraibu wa kuangalia video za Ngono. Nisaidieni ushauri ili niache

Futa hiyo VPN inayokuwezesha ku access hizo site za porn. Kama ni telegram left kabisa kwenye magroup ya ajabu.

Soma theard za humu kuhusu watu wanaolalamika kuhusu kupata shida ya nguvu za kiume baada ya kupiga nyeto labda utatishika na kuacha.

Acha kujifungia peke yako chumani jichanganye na watu. Na ukiingia chumbani iwe ni kulala.

Talking from my experience 😂😂😂
 
Mimi ni kijana wa miaka 23 ni muathirika na muhanga wa kuangalia video za ngono i mean Xxx videos natamani kuacha kila siku nachafua mashuka baada ya kuzingalia napambana sana but nashindwa naombeni ushauri ili niache niwe kama vijana wengine
1. Futa hizo picha mahali popote ulipozihifadhi wala links zake.

2. Jiondoe kwenye magroup yote unayowasiliana nayo yanayojihusisha na pono.

3. Kuwa na girlfriend aliye tayari kuwa nawe wakati mwingi hasa unapo feel

4. Endekeza sana ku do, fanya sana ngono na demu wako. Yaani fanya sana. Nyonya sana chuchu na dendeka sana. Hivyo vitu havipo kwenye pono, hivyo itakujengea feelings kuwa na demu badala ya pono.

5. Fanya kazi kwa bidii, au cheza michezo yenye kuusumbua mwili, kuchoka husaidia kuondoa mawazo ya pono.

6. Usipende kukaa peke yako muda mwingi. Kaa na demu wako au marafiki wasiojihusisha na pono.

7. Au amua kumrudia Mungu. Kuwa na hofu ya Mungu ni msaada mkubwa.

Haya ni baadhi ya mambo yaliyonisaidia kuachana na pono.
 
Bila shaka utakuwa unajichukulia na sheria mkononi pia japo hujasema.

Tafuta pia demu wa kukuchangamsha. Najua katika hali hiyo ni ngumu sana kupata demu maana hujiamini, na pia kunakuwa na kaupepo fulani ka gundu yani hakuna demu anakuwa attracted naww na hata ukijaribu kutongoza wanachomoa. Lakini we tafuta tu vyura wapo wengi kaka!!
 
Mimi ni kijana wa miaka 23 ni muathirika na muhanga wa kuangalia video za ngono i mean Xxx videos natamani kuacha kila siku nachafua mashuka baada ya kuzingalia napambana sana but nashindwa naombeni ushauri ili niache niwe kama vijana wengine
Ukianza kuwaza pesa ya kodi kutoka mfukoni kwako utaacha sa hv endelea kuulegeza huo uume.
 
Ukianza kuwaza pesa ya kodi kutoka mfukoni kwako utaacha sa hv endelea kuulegeza huo uume.
Ukushazoea ni ngumu kuacha.

Nilikuwa nampiga wife narudhikia vizuri. Lakini akiondoka tu, natazama pono na kupiga chaputa.

Kuwa na wife muda mwingi kulinizuia kuangalia pono. Nikachukua hatua ya kumpiga wife almost kila siku na kila wakati tunapopata nafasi.

Nilianza kusahau hadi leo sina time na pono japo naishi mbali na wife.
 
Back
Top Bottom