Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Utandawazi unafaida na hasara zake kiukweli siwezi kuegemea upande mmoja labda nitaje faida tu bila ya hasara ya utandawazi naona haitaleta picha nzuri lakini haina jinsi tu.

Kwani utandawazi wa sasa umekiuka maadili ya uumbwaji kwa wale wanaemjua Mungu kiukweli wazungu wanamalengo maovu dhidi ya waafrika ila sisi wenyewe hatujui lakini watuumiza sana kupitia utandawazi wao. Nasema hivyo kutokana na hasira kubwa niliyonayo hii inatokana na kupumbazwa na kitu kinachoitwa porn, kila kila wiki nikiweka bando lazima nipitie ile sehemu kuangalia wazungu wanavofanya upumbavu wao .

Nikitoka hapo naenda kujizima kiukweli hili tatizo limekuwa kubwa sana katika jamii zetu za kitanzania. So nilikuwa naomba/tunaomba ushauri juu ya tatizo hili ni njia gani sahihi ya kuacha au kupunguza punyeto.
 
Utandawazi unafaida na hasara zake kiukweli siwezi kuegemea upande mmoja labda nitaje faida tu bila ya hasara ya utandawazi naona haitaleta picha nzur lakin haina jinsi tu. kwani utandawazi wa sasa umekiuka maadili ya uumbwaji kwa wale wanaemjua mungu kiukweli wazungu wanamalengo maovu dhidi ya waafrika ila sisi wenyewe hatujui lakin watuumiza sana kupitia utandawazi wao. nasema hivyo kutokana na hasira kubwa niliyonayo hii inatokana na kupumbazwa na kitu kinachoitwa porn kila kila wiki nikiweka bando lazima nipitie ile sehemu kuangalia wazungu wanavofanya upumbavu wao nikitoka hapo naenda kujizima kiukweli hili tatizo limekuwa kubwa sana katika jamii zetu za kitanzania. so nilikuwa naomba/tunaomba ushauri juu ya tatizo hili ni njia gani sahihi ya kuacha au kupunguza punyeto???
Oa.
 
Utandawazi unafaida na hasara zake kiukweli siwezi kuegemea upande mmoja labda nitaje faida tu bila ya hasara ya utandawazi naona haitaleta picha nzur lakin haina jinsi tu...
FYI walengwa wakubwa wa porn ni wanaume. So kama umekuwa mteja wa kudumu endelea tu kutazama. pia porn sio wazungu pekee wanaotengeneza, zipo za waafrika pia. hivyo, utawajibika mwenyewe kwa matendo yako.
 
Ina maana kabla ya wazungu hatukuwa na punyeto Afrika? Take control of your life na acha kulaumu laumu hovyo. Bundle uweke wewe, porn uisake wewe, punyeto upige wewe halafu eti ulaumu wengine. The way you see the problem is the problem na mpaka utakapobadilisha mtazamo wako nothing will change!
 
kama hutaki kupiga punyeto amua kuacha utaacha nasisitiza tena amua kama unajielewa utafanya maamuzi sahihi. Solution iko hapa ubongo/akili hapa ndipo kuna solution ya tatizo lako control hisia zako everything will be ok.
 
Mkuu download ant-porn software....hapo hutaweza kuingia kwenye site yoyote ya porn....kuhusu kujilipua, weka mikakati ya kuacha kwa hatua.

Kama ulizoea kujilipua mara 10 kwa wiki, punguza kuja 8, 6, 4, 2, 1, hadi ufike mara 0 kwa wiki....ukisema unaacha kwa mkupuo utakuja kufidia siku ulizopitiliza.

Kingine, ondoa hiyo imani ya kusema wazungu wanatengeneza porn kwa ajili ya wafrika....porn addiction ni tatizo kubwa hasa kwao kuliko Africa.
 
..With smartphone.Porn is at your fingertips...Inahitaji mapinduzi ya kifikra kuacha kabisa...
 
Mkuu download ant-porn software....hapo hutaweza kuingia kwenye site yoyote ya porn....kuhusu kujilipua, weka mikakati ya kuacha kwa hatua,...kama ulizoea kujilipua mara 10 kwa wiki, punguza kuja 8, 6, 4, 2, 1, hadi ufike mara 0 kwa wiki....ukisema unaacha kwa mkupuo utakuja kufidia siku ulizopitiliza.

Kingine, ondoa hiyo imani ya kusema wazungu wanatengeneza porn kwa ajili ya wafrika....porn addiction ni tatizo kubwa hasa kwao kuliko Africa.
wakati mwingine haihitaji kuona picha kutrigger hisia za kuangalia porn.Umeshawahi kuingia You tube pengine ulifuata habari za Magufuli,Recommendation after recommendation,baadaye unajikuta unahitaji kulog in utazame content..Lahaula!...when did I get here?..ooh Magufuli brought me here.......hiyo baadae sana....
 
Achana nazo hizo anza kuangalia video za YYY na nyetto jitahidi kutumia super glue km kilainishi ndo njia sahihi kikatiba.
 
Back
Top Bottom