Ni kweli kabisa mkuu mimi ninao mshahara; Ila sijaongea hivyo kwa sababu ya mshahara ninao, ni kwamba Vijana wa siku izi hatuna kitu inaitwa patient/uvumilivu;
Huwa hatutaki kuruhusu mchakato upite kwenye lolote lile, Mfano: Mtu umepata kazi, anawaza mambo kibao namna ya kupiga hela, hataki process ya kuhakikisha anatoa muda ili afanye savings afikie malengo.
Alkadhalika kwenye kutafuta kazi ni hivyo hivyo, kuna kipindi cha kusubiri kuanzia ulipoomba kazi had kuitwa interview hadi kuitwa kazini, sasa mtu hata deadline bado anauliza?