Haya baba tafuta nyingi uniletee na mimi bado niko kitandani nakusubiri laazizi😘Nyuma ya mgongo.... Ngoja nikakutafutie hela mamaa baadae😘
Muache mgeni tumpokee kwa amani jamaninamkomaza😅😅😅😅
Basi sawa.unazingua bwana😅😅
Mgeni ila amefunga pm 😂 MKANGAFFUZamani ulikuwa unatumia Id ipi?
Jinsia yako rasmi ni ipi? ke au me
kha😅Basi sawa.
Uzuri niko na ID moja tu kuanzia day one.Ila nipoKwema kaka mgeni! Uko poa?
Ooh vzr kujua! Kustick na id moja ni ujasiri mkubwa sana!Uzuri niko na ID moja tu kuanzia day one.Ila nipo
twende usiku wa manane mbona umeniacha solemba alafu huku unajimwaya😏Ooh vzr kujua! Kustick na id moja ni ujasiri mkubwa sana!
Na sioni wala sijawahi kuona faida ya IDs nyingi.Ooh vzr kujua! Kustick na id moja ni ujasiri mkubwa sana!
twende usiku wa manane mbona umeniacha solemba alafu huku unajimwaya😏
NimeelewaSio huku... Tulikua tinataniana kwamba ukitembelewa na mgeni mjinga unampa chakula siku ya kwanza alafu siku ya pili mpe kazi ndogondogo za nyumbani kisha asipojielewa unampeleka shambani 😄