Pumpkin girl
Senior Member
- Jun 24, 2026
- 159
- 425
- Thread starter
-
- #301
Uliji register kwa I’d ipi kama haikua mpya.mimi case yangu ni ya tofauti.
sikuji register kama wewe kwa Id mpya.
swali la kizushi
kwanini umefungua Id mpya, hauoni kwamba upo uwezekano wa kuchanganya mafaili ya Id yako mpya na Id yako ya zamani.
imi
Mmh ngoja nijionee mie Ugomvi wa wanawake sio wa kuingilia.Leo ndio utaona! Subiri aje nimpe umaarufu kidogo katumia energy nyingi this month namkaushia haelewi! Nataka aje leo nina muda naye sana, tuhakikishe wote tunalala hoi, ban zitembee akapike pilau ale msenge huyu! Ananikomalia nakula nauli mara shoga sijui ndio level yake! Kuna matakataka huku ndani🚮
Unatakiwa kuelewa kuwa wewe ni "Member" wakati mimi ni "JF-Expert member." huoni hiyo tofauti ?Uliji register kwa I’d ipi kama haikua mpya.
Unauhakika gani kama hii ni I’d ya pili unaweza kuthibitisha. Acha ujuaji hii ni platform inayo fuatiliwa na watu wengi na hauwezi kumpangia mtu muda na wakati wa kuji register ili awe na uwezo wa kupost au ku reply kwenye mada
Sidhani kama hiyo Elimu yako umuhimu kwa sasaUnatakiwa kuelewa kuwa wewe ni "Member" wakati mimi ni "JF-Expert member." huoni hiyo tofauti ?
halafu nakupa elimu ya bure, ukiona Id yeyote yenye JF-expert member au platinum member ujue huyo ni mwekezaji, sio mwanachama wa kawaida.
hilo pambano lifanyike offline kama itawapendeza.Leo ndio utaona! Subiri aje nimpe umaarufu kidogo katumia energy nyingi this month namkaushia haelewi! Nataka aje leo nina muda naye sana, tuhakikishe wote tunalala hoi, ban zitembee akapike pilau ale msenge huyu! Ananikomalia nakula nauli mara shoga sijui ndio level yake! Kuna matakataka huku ndani🚮
Limeanzia offline? Unaweza kukaa offline likipisha tutakushtua!hilo pambano lifanyike offline kama itawapendeza.
Ooh kumbe hii ni vita ya muda?Sina reputation yoyote hapa! Nataka leo nimpe umaarufu inaonekana anautaka sana! We uliona wapi mjamzito anaandika hivi? Amewachota wee mkawa mnatiririkaa mkahisi mnadeal na mtu timamu? Naona aliyemtuma anachekea chooni! Leo namsubiri aje! Alitukana kuna siku,aliniandika bonge moja ya paragraph sikumjibu mods wakapita nayo chap basi anahisi ananimudu! My pride can’t! Lol..
likifanyika online kunakuwa na unfair advantage kwa pande zote mbili. ila mkikutana offline mnapimana ubavu kisawasawa.Limeanzia offline? Unaweza kukaa offline likipisha tutakushtua!
Eeeeeeeeeeeeeh na hivi tenaWewe unaumia nini kama wababa wananiandikia nyuzi! Heal babe hii week nzima naona hupati usingizi unaniwaza! Uliuzaga ku.ma humu hukulipwa basi unaumia unahisi kuna mia mia naokota? Au wewe hunaga pa kupata pesa unahisi wote ndio tuna biashara kichaa hizo?
Kama haikuumi na kukusumbua unaniwazia nini? Wewe kama una akili timamu ukisoma hizo nyuzi unahisi nafanya nazo nini? Au unaumia hakuna anayekupa attention? Mimba yako inakupeleka vibaya sana mpumbavu usiyejielewa wewe!
Umeniona nimekaa kimya umeanza kuniletea usenge! Nyege z amimba ndio ziko hivi? Umekaa umeshindwa kulimalima hata hapo kwako unakuja kunieletea story za kikuda ulizotungq huko matako ww! Fanya mambo zilizokuleta humu msenge wewe au kuna bwanaako unamuona anaelekea kibla? Tena unikome! Heal soon qmmmk!
Limeanzia offline? Unaweza kukaa offline likipisha tutakushtua!
litakufa jitu
sitaki kesi mimilikifanyika online kunakuwa na unfair advantage kwa pande zote mbili. ila mkikutana offline mnapimana ubavu kisawasawa.
kila kona tu nampuuzia anajikuta ananiweza! Leo kanikuta nut moja ime loose!Ooh kumbe hii ni vita ya muda?
Mimi nikahisi ilianzia kwenye uzi wake?
Halaf wengine hata hatujali kamlenga nani tunaangalia nini anamaanisha, so hata usiingie mtegoni mwanike.
Mtaishia kuwa kituko bora cha mwaka
😂😂😂 Sikuwepo kipindi haya yote yanatokea leo, naona umewaka mpk umeanzisha uzi kule🙄kila kona tu nampuuzia anajikuta ananiweza! Leo kanikuta nut moja ime loose!
point taken. Sasa mtu anakununia na hakujui kwanza kwa lipi. Hao achana nao furahia jf kwa raha zako na wasikupimie hewa. Kwani wao ndo wanakununulia bundle. Wafie mbele wakuache afu jifunze kutokasirika na mambo ya mtandaoni.Mimi usiniweke kwenye mjadala wenu mkuu maadui nilionao wananitosha kwa sasa! Kununiwa na watu nisiowajua bado sijamaliza kushangaa!
Unakuwa tu kawaida kama wengine ila maisha ndio yatakuchapaUwee! Nitembee kama lizezeta sina nyota! We kuweza?
Asante mshipaKaribu mpaka ndani