Naomba ukaribisho

sa umejua tuendelee.
11. Unajickiaje watu wakikupenda jf nzima yaan uitwe kipenzi cha jf wa wiki. Hii ina maana kubwa coz kuna kipenzi cha watu ms. Seran ndo anashikilia kwa sasa na haringi
Mimi usiniweke kwenye mjadala wenu mkuu maadui nilionao wananitosha kwa sasa! Kununiwa na watu nisiowajua bado sijamaliza kushangaa!
 
shit is getting realer
 
mimi case yangu ni ya tofauti.
sikuji register kama wewe kwa Id mpya.

swali la kizushi
kwanini umefungua Id mpya, hauoni kwamba upo uwezekano wa kuchanganya mafaili ya Id yako mpya na Id yako ya zamani.
Kwanini nijute, nilikuuliza swali asubuhi ila haukunijibu naomba nirudie

Wakati umeji register na hili jukwaa ulipokelewa na watu wenye akili finyu kama hizo unazo Zionesha kwangu?
imi
 
Hey don't take shit too seriously, naona prida anakupelekea moto yaani sijawahi ona umekasirika kabisa😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…