Naomba ukaribisho

1. Sio sana ila changamoto zipo
2. Nausikia ila sijawahi kushuhudia kwa macho yangu
3.sielewi sana kuhusu siasa,, kilicho nileta Humu nimekuja kujifunza na zaidi niweze ku reply kwenye mada maana as a guest hauna uwezo wa kureply zaidi ya kusoma pekeake
4. Matusi yapo japo siwezi kuyapa kipaumbele, nitakupokea namna ulivyo kuja
5.sijaelewa Makebo ni manini
 
Kama Kweli hujui Makebo, I attest kua Kweli ww ni mgeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…