Naomba msaada kuhusu kusafirisha mizigo kwa meli

mareeTZ

Senior Member
Jun 4, 2015
171
179
Wakuu heri ya mwaka mpya. Jamani kuna jambo linanishinda Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kusafirisha bidhaa nje ya nchi (siyo chakula). Sasa kuna hii ishu ya shipping kusafirisha mizigo na meli. Nataka msaada nijue wapi pa kuanzia mama vile ,ni kampuni gani zinahusika, Gharama, mzigo huchukua siku ngapi kufika, usalama wa mzigo n.k.
 
Back
Top Bottom