Naomba ufafanuzi kuhusu menu ya Airtel kifurushi cha usiku

vampire123

JF-Expert Member
Apr 17, 2016
1,120
2,000
Wakuu habari zenu,

Nilikuwa naomba kujua menu ya kujiunga kifurushi cha gb 10 usiki
 
1gb

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
1,851
2,000
Pengine itakua ulisafiri nje ya nchi..au Sio Airtel umekosea.
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
996
1,000
*148*88# then chagua Siku then chagua Bando za Usiku
Screenshot_20210511-083457.jpg
 
mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,796
2,000
hao ni Airtel wanasema 4G ipo mtaani wewe piga tu *148*88#
Kwa sasa natumia halotel 3G na menu Yao ya Bundle za usiku wana 5gb saa 6 mpaka 12 asubuhi, sasa najaribu kutafuta menu ambayo imetajwa hapo kwa airtel lakini hamna kitu, na mume upgrade kitambo 4g labda mmweke step by step
 
herman joshua

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
1,393
2,000
Wanacho cha usiku gb10 kwa 1500 saa 6 usiku hadi 12
Ni 15k sio 1500
Kwa ushauli wangu ni bora ununue cha 2000 unapewa GB 2 kwa siku3, kuliko hcho 15k afu usiku tu, na wakati huo kwa15k unanunu vifurushi vya 2k 7 na unapata GB 14 na chenji inabaki
 
Son of Gamba

JF-Expert Member
Oct 26, 2012
3,620
2,000
Ni 15k sio 1500
Kwa ushauli wangu ni bora ununue cha 2000 unapewa GB 2 kwa siku3, kuliko hcho 15k afu usiku tu, na wakati huo kwa15k unanunu vifurushi vya 2k 7 na unapata GB 14 na chenji inabaki
Ni buku jero ndugu na siyo elfu kumi na tano.
 
mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,796
2,000
Menu ni hiyo hiyo *148*88#

Labda wametugawa makundi na sim card yangu ina zaidi ya 5 yrs, mwanzoni nilikuwa na access vifurushi vya chuo, sasa hivi hakuna hizo offer, hata kifurushi chao cha usiku ilikuwa ni 600mb kama sio kwa buku basi ni jero. Zaidi ya hapo sijaona kifurushi cha bei ya chini ya buku mbili chenye afadhali kwa airtel labda ni kwa wanafunzi tu
umepiga namba zipi Mkuu? ina maana hujawapata Airtel ya kasi ya 4G ?
acha namba za zamani za Intenet
anza na *148*88# endelea na intenet, Smartika, utawakuta huko wa 2,000/ siku 3 mpka wa 20,000/
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
12,703
2,000
Menu ni hiyo hiyo *148*88#

Labda wametugawa makundi na sim card yangu ina zaidi ya 5 yrs, mwanzoni nilikuwa na access vifurushi vya chuo, sasa hivi hakuna hizo offer, hata kifurushi chao cha usiku ilikuwa ni 600mb kama sio kwa buku basi ni jero. Zaidi ya hapo sijaona kifurushi cha bei ya chini ya buku mbili chenye afadhali kwa airtel labda ni kwa wanafunzi tu
upo sahihi hawa Airtel walifuta kwa baadhi vifurushi vya Chuo
lkn kwa hapo hapo wanakupa offer ya kukipandisha kwenda 4G kwa kupiga namba zao
labda mwisho ungefika ofisi zao za karibu au ajent atakupa line nyingine kya 4G kwa namba zako hizohizo
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
12,703
2,000
Internet speed na network yake ikoje wazee
Kunguru hawa jamaa kwa sasa ni tishio speed ni kubwa kuliko Halotel na wengineo
Voda pia wamo ila wanakomba vibaya sana kwa siku unamaliza hadi cent
airtel ukinunua kifurushi cha siku 3 kwa 2,000 unapata 1.2GB na siku ya 3 unakuta bado upo 1.7GB
jaribu na nahisi vinapandiana wewe ni kuongeza tu utakuta 2GB
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom