Naomba ufafanuzi kuhusu menu ya Airtel kifurushi cha usiku

Ni *149*99# kisha namba 5 kisha namba 3 kisha namba 6 kifurushi ni sh 1500 unapata gb 10.

weka 1500 na sio 15000 kuna typing error kwa upande wao
 
Wanaounga usiku wanataka kwa ajili ya kudownload movies tu au kuapdate files. Na ni sh 1500 sio 15000 ile ni typing error kwa upande wao ila mwenye 1500 anaunga vizuri tu
Ni 15k sio 1500
Kwa ushauli wangu ni bora ununue cha 2000 unapewa GB 2 kwa siku3, kuliko hcho 15k afu usiku tu, na wakati huo kwa15k unanunu vifurushi vya 2k 7 na unapata GB 14 na chenji inabaki
 
Kunguru hawa jamaa kwa sasa ni tishio speed ni kubwa kuliko Halotel na wengineo
Voda pia wamo ila wanakomba vibaya sana kwa siku unamaliza hadi cent
airtel ukinunua kifurushi cha siku 3 kwa 2,000 unapata 1.2GB na siku ya 3 unakuta bado upo 1.7GB
jaribu na nahisi vinapandiana wewe ni kuongeza tu utakuta 2GB
Ngoja niingie Airtel rasmi
 
Sawa sawa mkuu


Hivi 4G Ni simu unasemea iwe nayo au laini ?

Na sim zp zinakua na 4g

Je infinix hot 8 ina 4G ?
4G yao iko poa sana sikuhizi. Inapiga mpaka 20Mbps
Screenshot_20210511-133651.jpg
 
Back
Top Bottom