vampire123
JF-Expert Member
- Apr 17, 2016
- 1,285
- 820
Wakuu habari zenu,
Nilikuwa naomba kujua menu ya kujiunga kifurushi cha gb 10 usiki
Nilikuwa naomba kujua menu ya kujiunga kifurushi cha gb 10 usiki
Wanacho cha usiku gb10 kwa 1500 saa 6 usiku hadi 12Airtel 10gb tangu lini?
Basi ndo nasikia leoWanacho cha usiku gb10 kwa 1500 saa 6 usiku hadi 12
Hii sio airtel*148*88# then chagua Siku then chagua Bando za UsikuView attachment 1780349
Ni Airtel ndugu yangu, jaribu uone.Hii sio airtel
Ona napata hiyo menuNi Airtel ndugu yangu, jaribu uone.
hao ni Airtel wanasema 4G ipo mtaani wewe piga tu *148*88#Hii sio airtel
Kwa sasa natumia halotel 3G na menu Yao ya Bundle za usiku wana 5gb saa 6 mpaka 12 asubuhi, sasa najaribu kutafuta menu ambayo imetajwa hapo kwa airtel lakini hamna kitu, na mume upgrade kitambo 4g labda mmweke step by stephao ni Airtel wanasema 4G ipo mtaani wewe piga tu *148*88#
umepiga namba zipi Mkuu? ina maana hujawapata Airtel ya kasi ya 4G ?Kwa ss
Ukifika kwenye hiyo menu chagua namba 3 Daily kisha utaona menu nyingine, hapo napo chagua namba 6 "night packs" utaona hicho kifurushi.Ona napata hiyo menuView attachment 1780365
Ni 15k sio 1500Wanacho cha usiku gb10 kwa 1500 saa 6 usiku hadi 12
Ni buku jero ndugu na siyo elfu kumi na tano.Ni 15k sio 1500
Kwa ushauli wangu ni bora ununue cha 2000 unapewa GB 2 kwa siku3, kuliko hcho 15k afu usiku tu, na wakati huo kwa15k unanunu vifurushi vya 2k 7 na unapata GB 14 na chenji inabaki
Bofya 3 afu 6Ona napata hiyo menu
umepiga namba zipi Mkuu? ina maana hujawapata Airtel ya kasi ya 4G ?
acha namba za zamani za Intenet
anza na *148*88# endelea na intenet, Smartika, utawakuta huko wa 2,000/ siku 3 mpka wa 20,000/
upo sahihi hawa Airtel walifuta kwa baadhi vifurushi vya ChuoMenu ni hiyo hiyo *148*88#
Labda wametugawa makundi na sim card yangu ina zaidi ya 5 yrs, mwanzoni nilikuwa na access vifurushi vya chuo, sasa hivi hakuna hizo offer, hata kifurushi chao cha usiku ilikuwa ni 600mb kama sio kwa buku basi ni jero. Zaidi ya hapo sijaona kifurushi cha bei ya chini ya buku mbili chenye afadhali kwa airtel labda ni kwa wanafunzi tu
Kunguru hawa jamaa kwa sasa ni tishio speed ni kubwa kuliko Halotel na wengineoInternet speed na network yake ikoje wazee