Naomba radhi wote niliowakwaza

Naomba radhi wote niliowakwaza

1. Mods, wengine mlifika Hadi inbox kunionya. Mbarikiwe sana.🙏🙏
2. Members wote niliotukana nao, ikiwemo Leo. Mnisamehe 7*70
3. Members walioyashuhudia matusi yangu na kuwakera.

Siijui kesho, Wala wahusika wa kesho......natubu.

Siijui Wala kuikumbuka faida yoyote ya matusi, ujinga tu maana mengi yao yamemrudia tu mama yangu mpendwa😪😪

Sijakamilika; pengine ninayetukanana nae ndo anayeshikia sehemu ya ukamilifu wangu siku zijazo

Wanaofaidika na siasa wanachat kwa vicheko baada ya kutoka kuraruana mahakamani.🤔🤔🤔

Tafadhali nisameheni!!
Leo hujavuta BANGI zako na visungura 😁

Pumzika kwa amani naona LUMUMBA BUKU SABA

WAMEANZA KUKUTOA KAFARA NDIO UNA ANZA KUWEWESEKA

PUMZIKA KWA AMANI
 
Nimeomba radhi matusi, hayo mengine ni Yako na siyajui....... endelea kujifurahisha nayo.
Umeomba radhi/msamaha kwa wanadamu, that's good...

Binafsi nilishakusamehe kitambo. Vivyo hivyo hata kwa wale wenzako kina Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, Troll JF and others of such kind

Sasa maliza kwa kuomba msahama na toba kwa Mungu Baba wa mbinguni maana imeandikwa katika Biblia - Neno la Mungu kwamba;

"....utusamehe makosa yetu kama nasi tunavyowasamehe waliotukusea..."​

Binafsi Mimi The Palm Beach , unisamehe pia iwapo nilikukosea kwa namna yoyote..

USHAURI KWAKO: Ukiona wengine wanapata shida kutamka neno "nimekusamehe" kwa sasa, isikupe shida, hiyo ni kawaida kabisa. Wengine huchukua muda kuliachilia jambo. Hopefully, at the right time wataachilia grudges na hasira zao..

MUHIMU: Hakikisha toba yako ni ya dhati toka moyoni. Usiwe mnafiki
 
Gentleman,
kwanza kabisa,
binafsi siwezi kukukosea wewe au mdau mwingine yeyote yule wa Jf, kuhusu kitu chochote kile kisiasa, licha ya maoni na mitazamo yako daily ambayo ni very useless humu jukwaani.

Lakini vile vile,
siwezi kuthubutu kuomba msamaha kwa kibwengo chochote kile kilichovamia siasa na ambacho hakijui wala hakielewi kwamba siasa ni sayansi na sio nyumba ya ibada.

Binafsi,
nitaendelea kuchapa kazi ya siasa, regardless ya porojo, mihemko au makasiriko ya vibaka na vibwengo waliovyamia siasa. Nitaendelea kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu ndani na nje ya JF.

Ni vizuri ukawaeleza na wenzako kuhusu hilo bila kificho na itapendeza zaidi gentleman 🐒
 
Recently Kuna kitu hakipo sawa Kwa Hawa machawa waandamizi wa Samia Hapa Jf...

Imekuwaje mmekuwa Walpole ghafla? Ukiangalia chawa mwingine Tlatlah"Gentleman 🐒 "aliyekuwa anaandika madudu,Sasa hivi nae kawa mpole kupita kiasi. Ana vicoment vifupi kama "ok" "sawa"

Nini kimewapata? Alafu hii hali imeanza kuwakuta baada ya kujiuzuru kwa Makamu na kisha akafukuzwa uanachama.

Bado Luka.
Kuna yule jamaa anajiita johnthebaptist nae amepotea mazima
 
Gentleman,
kwanza kabisa,
binafsi siwezi kukukosea wewe au mdau mwingine yeyote yule wa Jf, kuhusu kitu chochote kile kisiasa, licha ya maoni na mitazamo yako daily ambayo ni very useless humu jukwaani.

Lakini vile vile,
siwezi kuthubutu kuomba msamaha kwa kibwengo chochote kile kilichovamia siasa na ambacho hakijui wala hakielewi kwamba siasa ni sayansi na sio nyumba ya ibada.

Binafsi,
nitaendelea kuchapa kazi ya siasa, regardless ya porojo, mihemko au makasiriko ya vibaka na vibwengo waliovyamia siasa. Nitaendelea kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu ndani na nje ya JF.

Ni vizuri ukawaeleza na wenzako kuhusu hilo bila kificho na itapendeza zaidi gentleman 🐒
Rafiki usikufuru. Acha jeuri, kiburi na kujipa haki usiyostahili hata kwa chembe tu..

Sote, mimi na wewe tupo hai leo na tunaendelea kuishi na kuwa hai si kwa haki au akili au uwezo wetu wenyewe...

Bali tupo hivi tilivyo kwa sababu ya Neema ya Mungu tu iliyo katika Yesu Kristo..

Mungu wa mbinguni asema hivi;

1 Yohana 1:8-10 SUV
"....Tukisema kwamba hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe, wala kweli haimo mwetu. Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote. Tukisema kwamba hatukutenda dhambi, twamfanya Yeye kuwa mwongo wala neno lake halimo mwetu..."​

Kuwa mnyenyekevu tu. Acha kiburi.Tupendane. Tukosoane kwa staha na kwa upendo. Chukia uovu. Ipende HAKI na KWELI..

Mungu Yehova akurehemu🙏🙏
 
Kama mtu niliyechambana na wewe jana sikusamehe na usinisamehe, ubaya ubwela 😂😂😂

Makosa yenu ya kutetea mauaji sio ya kuomba msamaha, ninyi mnapaswa kuwa nyuma ya nondo.
 
Rafiki usikufuru. Acha jeuri, kiburi na kujipa haki usiyostahili hata kwa chembe tu..

Sote, mimi na wewe tupo hai leo na tunaendelea kuishi na kuwa hai si kwa haki au akili au uwezo wetu wenyewe...

Bali tupo hivi tilivyo kwa sababu ya Neema ya Mungu tu iliyo katika Yesu Kristo..

Mungu wa mbinguni asema hivi;

1 Yohana 1:8-10 SUV
"....Tukisema kwamba hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe, wala kweli haimo mwetu. Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote. Tukisema kwamba hatukutenda dhambi, twamfanya Yeye kuwa mwongo wala neno lake halimo mwetu..."​

Kuwa mnyenyekevu tu. Acha kiburi.Tupendane. Tukosoane kwa staha na kwa upendo. Chukia uovu. Ipende HAKI na KWELI..

Mungu Yehova akurehemu🙏🙏
Gentleman,
Siasa ni sayansi, na binafsi nitaifanya kisayansi kwa nguvu, gharama na moyo wangu wote.

hizo porojo, ramli na huo ushirikina mwingine ambao vibwengo na wavamizi wa siasa mnaouimba daily, sina haja ya kubabaika wala kupoteza muda nao🐒
 
1. Mods, wengine mlifika Hadi inbox kunionya. Mbarikiwe sana.🙏🙏
2. Members wote niliotukana nao, ikiwemo Leo. Mnisamehe 7*70
3. Members walioyashuhudia matusi yangu na kuwakera.

Siijui kesho, Wala wahusika wa kesho......natubu.

Siijui Wala kuikumbuka faida yoyote ya matusi, ujinga tu maana mengi yao yamemrudia tu mama yangu mpendwa😪😪

Sijakamilika; pengine ninayetukanana nae ndo anayeshikia sehemu ya ukamilifu wangu siku zijazo

Wanaofaidika na siasa wanachat kwa vicheko baada ya kutoka kuraruana mahakamani.🤔🤔🤔

Tafadhali nisameheni!!
Aise, kumbe kweli tunaelekea pazuri.
 
Mataqo Yako!! Poshoo zimeanza kukosa..
 
Back
Top Bottom