Naomba radhi wote niliowakwaza

Naomba radhi wote niliowakwaza

Maujinga ni Hali ya kuhamasisha chuki zisizo za kimsingi kwa Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Na jambo hilo huwa linafanywa na nyie si Mimi. Je, wewe unalipwa unapokesha hapa kutwa kucha kupeleka mbele uzushi wa kina mangi na sarungi kuhusu serikali, mara kikwete?!!!!
Hayo mambo ya Mange mimi siyajui. Na mara nyingi mimi huwa ni mchangiaji tu na siyo mleta uzi. Natamani sana kulipwa kama wewe,lakini nani wa kunilipa? Kama yupo niko tayari au kama una connection nipe mkuu.
 
Binafsi sijawahi soma sana topic zako humu jukwaani siwezi kusema jambo lolote zaidi ya kusema itikadi zetu zisituondolee utu wetu, tunategemeana sana kijamii.
CCM haiwezi kuishi peke yake.
Hali kadhalika CHADEMA haiwezi kuishi peke yake.
Simba haiwezi kuishi peke yake.
Yanga pia haiwezi kuishi peke yake.
Tuheshimiane
Tupendane
Tuthaminiane
Tuishi kwa kutenda haki
Haki, Amani na Upendo vitawale.
 
Acha kua mnyonge,
Mtu akikuvunjia heshima yako,na wewe mvunjie yake,
Kuna watu hapa JF hua wanapenda sana kukashifu wenzao au kukashifu imani za wenzao,

Kuna watu hata ukiwaripoti kwa Mod's ni kazi bure tu,

Kanuni ni ile ile Unapokelewa kama utakavyo kuja.
 
Formula uliokuja nayo bado sana, Watafute mazuzu kama ww.
Mama yangu, kwa heshima zote, mbona mi sijazungumzia kujitoa kwa Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania?!!!! Mi nimezungumzia matusi. Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, ndo Raisi wangu Bora wa muda wote.

Halafu, elewa kitu kimoja, mama yangu mpendwa, yaani nijitoe kwa Dr Samia kwa kumuogopa nani?!!!! Nyie chadema wa JF au lissu aliye behind bars kwa mwaka sasa?!!!!!!🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom