Naomba radhi wote niliowakwaza

Naomba radhi wote niliowakwaza

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
5,947
Reaction score
4,547
1. Mods, wengine mlifika Hadi inbox kunionya. Mbarikiwe sana.🙏🙏
2. Members wote niliotukana nao, ikiwemo Leo. Mnisamehe 7*70
3. Members walioyashuhudia matusi yangu na kuwakera.

Siijui kesho, Wala wahusika wa kesho......natubu.

Siijui Wala kuikumbuka faida yoyote ya matusi, ujinga tu maana mengi yao yamemrudia tu mama yangu mpendwa😪😪

Sijakamilika; pengine ninayetukanana nae ndo anayeshikia sehemu ya ukamilifu wangu siku zijazo

Wanaofaidika na siasa wanachat kwa vicheko baada ya kutoka kuraruana mahakamani.🤔🤔🤔

Tafadhali nisameheni!!
 
Recently Kuna kitu hakipo sawa Kwa Hawa machawa waandamizi wa Samia Hapa Jf...

Imekuwaje mmekuwa Walpole ghafla? Ukiangalia chawa mwingine Tlatlah"Gentleman 🐒 "aliyekuwa anaandika madudu,Sasa hivi nae kawa mpole kupita kiasi. Ana vicoment vifupi kama "ok" "sawa"

Nini kimewapata? Alafu hii hali imeanza kuwakuta baada ya kujiuzuru kwa Makamu na kisha akafukuzwa uanachama.

Bado Luka.
 
Recently Kuna kitu hakipo sawa Kwa Hawa machawa waandamizi wa Samia...

Imekuwaje mmekuwa Walpole ghafla? Ukiangalia chawa mwingine Tlatlah"Gentleman 🐒 "aliyekuwa anaandika madudu,Sasa hivi nae kawa mpole kupita kiasi. Ana vicoment vifupi kama "ok" "sawa"

Nini kimewapata? Alafu hii hali imeanza kuwakuta baada ya kujiuzuru kwa Makamu na kisha akafukuzwa uanachama.
Pokea radhi yangu mkuu, mengine achana nayo huyawezi.......
 
Hapana,

Mimi siyo mtu mlaini.

Kijasusi,adui/mtu aliye kinyume na
haki ka ilivyo wewe na kina Tlatlah anapokuja upande wa haki ghafla na kusema "naombeni msamaha" bila kutanabaisha kwa nini anaomba msamaha ghafla lazima tu-queation.

Usije kuwa na Tabia za T Bag wa prison Break...Anakuwa mpole na kukuomba msamaha kumbe ameficha kiwembe kwenye kinywa. Ukizubaa tu amepita na koo!!
 
1. Mods, wengine mlifika Hadi inbox kunionya. Mbarikiwe sana.🙏🙏
2. Members wote niliotukana nao, ikiwemo Leo. Mnisamehe 7*70
3. Members walioyashuhudia matusi yangu na kuwakera.

Siijui kesho, Wala wahusika wa kesho......natubu.

Siijui Wala kuikumbuka faida yoyote ya matusi, ujinga tu maana mengi yao yamemrudia tu mama yangu mpendwa😪😪

Sijakamilika; pengine ninayetukanana nae ndo anayeshikia sehemu ya ukamilifu wangu siku zijazo

Wanaofaidika na siasa wanachat kwa vicheko baada ya kutoka kuraruana mahakamani.🤔🤔🤔

Tafadhali nisameheni!!
Wewe muuaji na samuya wako hampaswi kusamehewa. Tupeni miili ya wapendwa wetu tukazike
 
1. Mods, wengine mlifika Hadi inbox kunionya. Mbarikiwe sana.🙏🙏
2. Members wote niliotukana nao, ikiwemo Leo. Mnisamehe 7*70
3. Members walioyashuhudia matusi yangu na kuwakera.

Siijui kesho, Wala wahusika wa kesho......natubu.

Siijui Wala kuikumbuka faida yoyote ya matusi, ujinga tu maana mengi yao yamemrudia tu mama yangu mpendwa😪😪

Sijakamilika; pengine ninayetukanana nae ndo anayeshikia sehemu ya ukamilifu wangu siku zijazo

Wanaofaidika na siasa wanachat kwa vicheko baada ya kutoka kuraruana mahakamani.🤔🤔🤔

Tafadhali nisameheni!!
Itakua akina wegesa wanekukwaza sana
 
Back
Top Bottom