Naomba radhi wote niliowakwaza

Naomba radhi wote niliowakwaza

Unatukana matusi makubwa harafu unakuja kuomba msamaha kirahisi tu endelea kutukana Mkuu karma ya kila baya lipo hapa hapa Duniani...
Mimi sio mnafiki sikusamehe 90 mara 1000 inatakiwa ujue zipo ngoma ngumu zenyewe hazitukani ila pia kusamehe ni sahau..
Ni mawazo, Imani na matamanio Yako mkuu, hakuna shida.
 
1. Mods, wengine mlifika Hadi inbox kunionya. Mbarikiwe sana.🙏🙏
2. Members wote niliotukana nao, ikiwemo Leo. Mnisamehe 7*70
3. Members walioyashuhudia matusi yangu na kuwakera.

Siijui kesho, Wala wahusika wa kesho......natubu.

Siijui Wala kuikumbuka faida yoyote ya matusi, ujinga tu maana mengi yao yamemrudia tu mama yangu mpendwa😪😪

Sijakamilika; pengine ninayetukanana nae ndo anayeshikia sehemu ya ukamilifu wangu siku zijazo

Wanaofaidika na siasa wanachat kwa vicheko baada ya kutoka kuraruana mahakamani.🤔🤔🤔

Tafadhali nisameheni!!
Kwanini uombe radhi umegundua nini
 
Ubadilike, ulikuwa na tabia ya SODOMA sana.
Wote tu wakosaji lkn ulikuwa una udhi.

Ubarikiwe kwa mabadiliko
 
1. Mods, wengine mlifika Hadi inbox kunionya. Mbarikiwe sana.🙏🙏
2. Members wote niliotukana nao, ikiwemo Leo. Mnisamehe 7*70
3. Members walioyashuhudia matusi yangu na kuwakera.

Siijui kesho, Wala wahusika wa kesho......natubu.

Siijui Wala kuikumbuka faida yoyote ya matusi, ujinga tu maana mengi yao yamemrudia tu mama yangu mpendwa😪😪

Sijakamilika; pengine ninayetukanana nae ndo anayeshikia sehemu ya ukamilifu wangu siku zijazo

Wanaofaidika na siasa wanachat kwa vicheko baada ya kutoka kuraruana mahakamani.🤔🤔🤔

Tafadhali nisameheni!!
Sawa katiba mpya ni Jambo la wote Kwa faida ya vizazi vyetu,msishupaze shingo Kwa Uchama!
 
Maujinga ni Hali ya kuhamasisha chuki zisizo za kimsingi kwa Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Na jambo hilo huwa linafanywa na nyie si Mimi. Je, wewe unalipwa unapokesha hapa kutwa kucha kupeleka mbele uzushi wa kina mangi na sarungi kuhusu serikali, mara kikwete?!!!!
Hapo ndio unaharibu, ukweli usemwe,uchaguzi2025, Ulikuwa wa Haki?Alishinda 98.7%?Watu vituoni hawakujitokeza Kwa wingi!Hizo asilimia za wapi?
 
Acha kua mnyonge,
Mtu akikuvunjia heshima yako,na wewe mvunjie yake,
Kuna watu hapa JF hua wanapenda sana kukashifu wenzao au kukashifu imani za wenzao,

Kuna watu hata ukiwaripoti kwa Mod's ni kazi bure tu,

Kanuni ni ile ile Unapokelewa kama utakavyo kuja.
Kwa hiyo mgeni akija kwako mikono mitupu,humpi hata maji!
 
1. Mods, wengine mlifika Hadi inbox kunionya. Mbarikiwe sana.🙏🙏
2. Members wote niliotukana nao, ikiwemo Leo. Mnisamehe 7*70
3. Members walioyashuhudia matusi yangu na kuwakera.

Siijui kesho, Wala wahusika wa kesho......natubu.

Siijui Wala kuikumbuka faida yoyote ya matusi, ujinga tu maana mengi yao yamemrudia tu mama yangu mpendwa😪😪

Sijakamilika; pengine ninayetukanana nae ndo anayeshikia sehemu ya ukamilifu wangu siku zijazo

Wanaofaidika na siasa wanachat kwa vicheko baada ya kutoka kuraruana mahakamani.🤔🤔🤔

Tafadhali nisameheni!!
Umekua muungwana..Hamna faida kabisa ya kumtukana mtu kisa ameleta hoja kinzani.Uzi wako naupa tuzo kua uzi bora wa mwaka.Wengine wajifunze kutoka kwako.MUNGU AKUBARIKI
 
1. Mods, wengine mlifika Hadi inbox kunionya. Mbarikiwe sana.🙏🙏
2. Members wote niliotukana nao, ikiwemo Leo. Mnisamehe 7*70
3. Members walioyashuhudia matusi yangu na kuwakera.

Siijui kesho, Wala wahusika wa kesho......natubu.

Siijui Wala kuikumbuka faida yoyote ya matusi, ujinga tu maana mengi yao yamemrudia tu mama yangu mpendwa😪😪

Sijakamilika; pengine ninayetukanana nae ndo anayeshikia sehemu ya ukamilifu wangu siku zijazo

Wanaofaidika na siasa wanachat kwa vicheko baada ya kutoka kuraruana mahakamani.🤔🤔🤔

Tafadhali nisameheni!!
Binafsi nimekususamehe uwe na Amani.
 
Mimi nakusamehe , shariti moja moja tafuta jina lingine mbali dr wa manesi .

All in all umefanya jambo jema sana kutubu na Mungu akawe juu yako kama kweli umetubu toka moyoni mwako
 
Back
Top Bottom