Naomba radhi wote niliowakwaza

Naomba radhi wote niliowakwaza

Hapana,

Mimi siyo mtu mlaini.

Kijasusi,adui/mtu aliye kinyume na
haki ka ilivyo wewe na kina Tlatlah anapokuja upande wa haki ghafla na kusema "naombeni msamaha" bila kutanabaisha kwa nini anaomba msamaha ghafla lazima tu-queation.

Usije kuwa na Tabia za T Bag wa prison Break...Anakuwa mpole na kukuomba msamaha kumbe ameficha kiwembe kwenye kinywa. Ukizubaa tu amepita na koo!!
Hapana mkuu, Mimi nimeomba radhi kwa kadhia ya matusi tu. Upande unabaki uleule wa haki, kwa Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania.
 
1. Mods, wengine mlifika Hadi inbox kunionya. Mbarikiwe sana.🙏🙏
2. Members wote niliotukana nao, ikiwemo Leo. Mnisamehe 7*70
3. Members walioyashuhudia matusi yangu na kuwakera.

Siijui kesho, Wala wahusika wa kesho......natubu.

Siijui Wala kuikumbuka faida yoyote ya matusi, ujinga tu maana mengi yao yamemrudia tu mama yangu mpendwa😪😪

Sijakamilika; pengine ninayetukanana nae ndo anayeshikia sehemu ya ukamilifu wangu siku zijazo

Wanaofaidika na siasa wanachat kwa vicheko baada ya kutoka kuraruana mahakamani.🤔🤔🤔

Tafadhali nisameheni!!
Mkuu, huo ni uungwana pale unapojihisi umemkwaza mtu/watu na kuamua kuomba radhi hadharani.

Ila zingatia jambo moja na lililo muhimu katika kushiriki mijadala humu jukwaani, ni vyema na haki kuweka wazi mitazamo yako kutokana na kile ambacho wewe binafsi unakiamini, isiwe tu unakwenda kinyume na taratibu zilizowekwa na uongozi wa jukwaa hili.

Humu jukwaani tunatofautiana sana katika uelewa wa mambo kwa kina, kwa hiyo basi "sometimes you can provoke someone unknowingly" ukajikuta unakula za uso.

Kutofautiana ndiyo ubinadamu wenyewe, lakini matumizi ya lugha zisizokuwa na staha katika uchangiaji wa mada siyo uungwana kabisa. Nakutia moyo endelea mbele na uchangiaji wa hoja kwa kadiri uhuru wako unavyokuruhusu kufanya hivyo, usiogope kukabiliana na hoja kinzani pale inapokubidi kufanya hivyo. Ukipewa za uso na wewe "react accordingly for you don't loose anything"

USIOGOPE.
 
Ahsante sana mkuu. Nimekuelewa na msimamo wangu, wa kisiasa, inaendelea kubaki vile vile. Ni matusi tu ndiyo niliyoomba msamaha kwa wadau.
 
1. Mods, wengine mlifika Hadi inbox kunionya. Mbarikiwe sana.🙏🙏
2. Members wote niliotukana nao, ikiwemo Leo. Mnisamehe 7*70
3. Members walioyashuhudia matusi yangu na kuwakera.

Siijui kesho, Wala wahusika wa kesho......natubu.

Siijui Wala kuikumbuka faida yoyote ya matusi, ujinga tu maana mengi yao yamemrudia tu mama yangu mpendwa😪😪

Sijakamilika; pengine ninayetukanana nae ndo anayeshikia sehemu ya ukamilifu wangu siku zijazo

Wanaofaidika na siasa wanachat kwa vicheko baada ya kutoka kuraruana mahakamani.🤔🤔🤔

Tafadhali nisameheni!!
We learn everyday and we learn through mistakes!
 
Una buku hapo!
 
Mkuu hata Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa huwa wanasema kwamba hawalipwi. Sasa maujinga ambayo huwa mnaandika ni kujitolea tu?
Maujinga ni Hali ya kuhamasisha chuki zisizo za kimsingi kwa Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Na jambo hilo huwa linafanywa na nyie si Mimi. Je, wewe unalipwa unapokesha hapa kutwa kucha kupeleka mbele uzushi wa kina mangi na sarungi kuhusu serikali, mara kikwete?!!!!
 
Back
Top Bottom