Mungu akupe afya njema.
Pole sana Ushimen. Mwenyezi Mungu asimamie afya yako mkuu.
Mkuu are you serious or just kidding. Kama ni kweli unamaanisha basi sote tunakuombea upone maana ni kweli sasa hivi unalala asubuhi inakuwa surprise Mungu akupe uponyaji Katika Jina la Yesu Kristo, Amina.
Piga nyungu mwanzo mwisho!
Unajuaje kama hana matatizo mengine ya Afya?
Mkuu JITAHIDI Sana, kuikimbia hofu kadri ya uwezo wako, wasiliana na kiongozi wako wa kiimani atakushauri vema, Mungu ni mwema atakuponya bila shaka.
Wala usiogope mkuu mimi toka ijumatatu ya wiki iliyopita nilikua hoi mno. Mbavu,kifua,joint,kichwa,homa na kikohoo
Niliogopa sana yaani kifua na koo vilivyokua vinauma nilijua naondoka asee. Ila leo niko poa kabisa.(Sikuambia yoyote juu ya hiki)
Cha msingi acha Hofu kabisa kama una Kwaya Video angalia sana zinaondoa temptation..
Chukua Baking Soda kijiko cha kula kimoja changanya kwenye glasi kunywa kabla ya kula chochote.Nimepona kifua na Mbavu kwa hili.
Chukua Tangawizi,Asali na liamao uwe unakunywa.
Chukua mnyaa/mnyara ubabue kwenye moto kifogo kisha tafuna meza maji yake kikohoo kitapona.
Au tafuna majani ya mbaazi kifua na Kikohoo vitapona
Mimi nimepona koo kwa mchanganyiko huo
View attachment 1436458
Jitenge ila usisahau vyungu na juice ya limao na tangawizi kwa wiiiingiiiiiiii,hakika utapona mkuu
Wakuu, asanteni sana.Pole sana mkuu,
Vyema kukuona kwa Mara nyingine.Wakuu, asanteni sana.
Hii kitu ipo na ninawashauri tu kuwa makini na hasa kuchukuwa tahadhari ili kuwalinda wanao tuzunguka
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepona Corona [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Wakuu..... hata sasa niseme naendelea vizuri sana, na Mungu amenisimamia katika hili.
Asante kwa MAOMBI yenu yalio niinuwa.
Asante kwa michango na PM zenu zilizo nifariji na kunitia moyo.
Asante kwa comments zenu zilizo nijenga na kunitoa hofu pakubwa.
Asante kwa kuniweka mawazoni mwenu na kunijulia hali, najivunia zaidi nikisema mnanijali sana.
Asante kwa msaada wote ule mliotoa kwa ushauri na pia member ulie nitumia dawa.
Asante kwa kujumuika nami kimawazo na kiroho.
Asante kwa urafiki wenu.
Asante kwa upendo wenu.
ASANTE, ASANTE, ASANTE tena nasema ASANTE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh afadhali umeandika hapa ndg happy to see youWakuu, asanteni sana.
Hii kitu ipo na ninawashauri tu kuwa makini na hasa kuchukuwa tahadhari ili kuwalinda wanao tuzunguka
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu..... hata sasa niseme naendelea vizuri sana, na Mungu amenisimamia katika hili.
Asante kwa MAOMBI yenu yalio niinuwa.
Asante kwa michango na PM zenu zilizo nifariji na kunitia moyo.
Asante kwa comments zenu zilizo nijenga na kunitoa hofu pakubwa.
Asante kwa kuniweka mawazoni mwenu na kunijulia hali, najivunia zaidi nikisema mnanijali sana.
Asante kwa msaada wote ule mliotoa kwa ushauri na pia member ulie nitumia dawa.
Asante kwa kujumuika nami kimawazo na kiroho.
Asante kwa urafiki wenu.
Asante kwa upendo wenu.
ASANTE, ASANTE, ASANTE tena nasema ASANTE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema ndio dawa ya Corona Madagascar wamegundua,hili Jani kwa kiswahili fasaha sijui inaitwaje kweli najua tu kilugha,nashkuru Niko poa saivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wakati wa gharika ya Nuhu kuna wenzako walifanya vivyo hivyo[emoji2215][emoji2215][emoji2215][emoji2215]duh.apa nimesha jiweka zangu lock down nme nunua vitu vyote vya muhimu .wala sitaki watu kuja kuja kwangu
Wanasema ndio dawa ya Corona Madagascar wamegundua,hili Jani kwa kiswahili fasaha sijui inaitwaje kweli najua tu kilugha,nashkuru Niko poa saivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu..... hata sasa niseme naendelea vizuri sana, na Mungu amenisimamia katika hili.
Asante kwa MAOMBI yenu yalio niinuwa.
Asante kwa michango na PM zenu zilizo nifariji na kunitia moyo.
Asante kwa comments zenu zilizo nijenga na kunitoa hofu pakubwa.
Asante kwa kuniweka mawazoni mwenu na kunijulia hali, najivunia zaidi nikisema mnanijali sana.
Asante kwa msaada wote ule mliotoa kwa ushauri na pia member ulie nitumia dawa.
Asante kwa kujumuika nami kimawazo na kiroho.
Asante kwa urafiki wenu.
Asante kwa upendo wenu.
ASANTE, ASANTE, ASANTE tena nasema ASANTE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana tunafurahi kukuona ukirejea tena uwanjani mkuu maana ulitaka kufanya timu ifungwe kutokana na huzuni hasa sisi abiria wako tunaoombaga lift kwenye kale kagari kako kenye korodani nyuma na kama hutojali nitupie picha hapa nifurahi kwenye huu huu uzi aisee.Wakuu, asanteni sana.
Hii kitu ipo na ninawashauri tu kuwa makini na hasa kuchukuwa tahadhari ili kuwalinda wanao tuzunguka
Sent using Jamii Forums mobile app
Linaitwaje mkuu?Mkuu namshukuru Mungu naendelea vizuri ,toka nitumie ile Jani la Madagascar huwezi amini pua zimefunguka na nahisi harufu saivi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ni mwema.Wakuu..... hata sasa niseme naendelea vizuri sana, na Mungu amenisimamia katika hili.
Asante kwa MAOMBI yenu yalio niinuwa.
Asante kwa michango na PM zenu zilizo nifariji na kunitia moyo.
Asante kwa comments zenu zilizo nijenga na kunitoa hofu pakubwa.
Asante kwa kuniweka mawazoni mwenu na kunijulia hali, najivunia zaidi nikisema mnanijali sana.
Asante kwa msaada wote ule mliotoa kwa ushauri na pia member ulie nitumia dawa.
Asante kwa kujumuika nami kimawazo na kiroho.
Asante kwa urafiki wenu.
Asante kwa upendo wenu.
ASANTE, ASANTE, ASANTE tena nasema ASANTE.
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Nilijifukiza nyungu kwa kutumia muarobaini mixer na mshana mixer na mkaratusi × 3 kwa sikuUmepona Corona [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Tuambie ilikiwaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda aende yeye....
Amen...Kila sifa njema anastahiki kusifiwa Mwenyezi Mungu, Mola wa walimwengu wote!
Karibu sana Mkuu, Allah azidi kukupa nguvu na afya njema.
Mungu ni mkuu,karibu tena kamandaWakuu..... hata sasa niseme naendelea vizuri sana, na Mungu amenisimamia katika hili.