Naomba niwaage

Mkuu kama inawezekana weka picha ya huo mlonge na namna ya kuutumia. Utaokoa wengi.
 
Ikibidi tupewe tu hata hizo ARVs tutumie nchi nzima
 
Embu pita kwa Mange kidogo
 
Mkuu kama inawezekana weka picha ya huo mlonge na namna ya kuutumia. Utaokoa wengi.
Hii ni vita inahitaji tupambane kwa kutumia Silaha ya aina yeyote ile...tatizo kubwa la huu ugonjwa uambukizaji wake ni rahisi sana...na hiyo lockdown ndio ngumu zaidi
Mkuu kama inawezekana weka picha ya huo mlonge na namna ya kuutumia. Utaokoa wengi.
Kama uko dar nenda posta mpya...karibu na ofisi za bima...wanauza unga wa mlonge na chia seeds...nilisumbuliwa na homa..na mafua...nikanunua hizo...nikachanganya na tangawizi na limao...kidogo hali imetulia...maendeleo hayana chama...tupambaneni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…