Wapigie sekretarieti kwa namba zao za huduma watakusaidia.Wapendwa habari!
Samahani naomba kuuliza nimekosea kujaza details za academic qualification nikajaza cheti Cha degree Mara mbili network ilikuwa inasumbua kumbe imejiupdate.
Nakuja kuangalia CV preview naona degree Mara mbili. Halafu hakuna option ya kudelete wanaojua nifanyeje wapendwa? Maana sijui nikiapply kazi nitaitwa hata interview..
Msaada please
Jaribuni kupiga muda wa kazi between saa 3 hadi saa 9 alasiriMm pia nna tatizo hilo, mbaya zaidi namba zao hazipatikani na zikipatikana hawapokei, kama upo Dodoma bc nenda UDOM ofisini kwao
Nmepiga sana ndani ya huo muda lkn hakuna loloteJaribuni kupiga muda wa kazi between saa 3 hadi saa 9 alasiri
Hakuna hy optionInafutika bwana very easy. Option ipo.
Yeah Ni kweli hkn hiyo optionHakuna hy option
Oohh..At least umenipa matumainiHiyo haina shida mkuu uwe tu umeweka kisahihi kwa mara zote mimi pia account yangu niliweka mara mbili tena kwa vyeti tofauti viwili nikawapigia wakaniambia kufuta haiwezekani niviache tu sio shida nimeviacha na nimewai kuomba ikakubali na niliitwa kwenye interview.
Naomba nikuulize, system ya Ajira portal inataka uanze kuweka cheti cha form four na kuendelea mbele, sasa vipi kwa ambaye ameanza kuweka cheti cha chuo >form six > form four Vipi hapo system itamkubali.?Hiyo haina shida mkuu uwe tu umeweka kisahihi kwa mara zote mimi pia account yangu niliweka mara mbili tena kwa vyeti tofauti viwili nikawapigia wakaniambia kufuta haiwezekani niviache tu sio shida nimeviacha na nimewai kuomba ikakubali na niliitwa kwenye interview.
Ila naskia kufuta cheti ulichoweka mara mbili (kama shida ya mtoa mada) ili kibaki kimoja inawezekana, ila kufuta cheti kabisa kisiwepo ndo haiwezekaniHiyo haina shida mkuu uwe tu umeweka kisahihi kwa mara zote mimi pia account yangu niliweka mara mbili tena kwa vyeti tofauti viwili nikawapigia wakaniambia kufuta haiwezekani niviache tu sio shida nimeviacha na nimewai kuomba ikakubali na niliitwa kwenye interview.
Mkuu mm nimepiga saa 2 asbh mpka saa 11 simu busy badae imezimwa, changamoto kwelii daaaJaribuni kupiga muda wa kazi between saa 3 hadi saa 9 alasiri
Yaaani mm nikiselect course category lakini program name hainiletei nimejaribu hata kufanya trial kwa program nyingine hainiletei program nameNadhani hua kuna sehemu mbili,
Ya kwanza ni yale masomo kwa ujumla mfano masomo ya sayansi, masomo ya afya, masomo ya Arts...
Naomba nikuulize, system ya Ajira portal inataka uanze kuweka cheti cha form four na kuendelea mbele, sasa vipi kwa ambaye ameanza kuweka cheti cha chuo >form six > form four Vipi hapo system itamkubali.?
Mbona bado iko vile vileSystem itavipanga yenyewe