mfumo wa ajira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Mfumo wa kuomba ajira wa TRA hauna sehemu ya namba ya NIDA

    Je huu mfumo wa TRA kwa nini hawajaintegrate na mfumo wa NIDA ili kupunguza kupata data ambazo ni tatizo huko mbeleni. Je kwa nini wasingetumia mfumo wa TUME YA AJIRA AMBAO TAYARI UPO..... Kama TAIFA TUNARUDI NYUMA.
  2. nashukuru mzima

    Kujitolea (Volunteer) imekuwa tabia kandamizi katika mfumo wa ajira nchini

    Habari, Kujitolea katika Serikalini au kwenye private kwa sasa imekuwa ni ugonjwa mkubwa sana nchini. Baada ya Uhaba mkubwa wa ajira nchini, kumekuwa na wimbi la Hali ya mashirika,taasisi za umma na binafsi kuhitaji watu wa kujitolea kwenye sehemu za kazi. Kiuhalisia kujitolea sio jambo baya...
  3. muafi

    Mahusiano kati ya namba ya NIDA na mfumo wa ajira yakoje? Dogo kazinguliwa ajira mpya, naomba ushauri wenu

    Dogo ni mwalimu idara ya msingi, Majina yake ya vyeti vyote ni MARIAM ELIAS (mfano) Majina ya Nida ni MARIAM ELIAS MMASA. Wakati wa kuomba ajira Tamisemi details zilikubali vizuri kabisa na mimi ndiye nilimuombea. Selection zimetoka kachaguliwa lakini halmashauri wanamiweka kwenye mfumo...
  4. Adqcos

    SoC02 Mfumo wa ajira katika Taasisi Binafsi za Afya na za Serikali

    Ijapokuwa changamoto za mfumo huu huwa zipo maeneo mbalimbali lakini napenda kujikita zaidi kwa wahitimu wa kada za Afya nchini ambao ni Madaktari, Afisa Tabibu, Wauguzi, wateknolojia Dawa, Wateknolojia Maabara na Afisa Tabibu Meno. Mifumo ya elimu kwa ajili ya kumuandaa mtu wa kusomea taaluma...
  5. J

    SoC02 Mfumo wa ajira nchini ubadilishwe

    MFUMO WA AJIRA NCHINI UBADILISHWE Wakati ni sasa wa serikali pamoja na sekta binafsi kuja na mbinu au mkakati mpya wa ajira na kuajiri nchini. Sote tunajua hivi sasa kuna malalamiko mengi kwa wananchi walio wengi kukosa ajira pamoja na kwamba elimu na sifa zote za kuweza kuitumikia nchi yao...
  6. Wababa13

    Nimesomea Maendeleo ya Jamii ila mfumo wa Ajira Portal unanigomea kuomba kazi ya Ustawi wa Jamii cha kushangaza wanataka mtu aliyesomea Sociology n.k?

    Watalamu naomba mnisaidie inawezekanaje mimi wa Maendeleo ya Jamii kukataliwa kuomba kazi za Ustawi wa Jamii na wanawahitaji watu waliosomea Sociology n.k akati mimi nimesoma Sociology, Child right kama masomo ndani ya Course yangu pendwa ya Maendeleo ya Jamii. Na Ustawi wa Jamii na Maendeleo...
  7. judy0

    Msaada kuhusu mfumo wa ajira

    Habari za siku nyingI wana jf? Poleni sana na kazi. Nijielekeze kwenye maada. Natatizwa sana na namna mfumo wa maombi ya ajira TAMISEMI unavyofanya kazi hadi kupata idadi inayohitajika. *Hivi mfumo unachaguaje watu? *Naamini kuna watu wanaousimamia na kuulinda mfumo usiingiliwe, je unalindwa na...
  8. GANG MO

    Wadau natatuaje hili kwenye mfumo wa ajira?

    nimefikia hatua hii lakini tatizo linakuja pale napotaka kujaza jina la chuo kwenye orodha halipo. nimesoma University of Iringa (UoI)
  9. Ahmet

    Tatizo la courses katika mfumo wa ajira za TAMISEMI

    Katika kufanya maomba ya kazi zilizotangazwa na TAMISEMI, waombaji wengi tumekutana na changamoto hii kubwa. (Hasa upande wa elimu, sijui upande wa afya kukoje) Katika kipengele cha kujaza taarifa za chuo, Baada ya ku-search chuo then unatakiwa kuselect course uliyosoma, lakini kwa bahati...
  10. inosgram

    SoC01 Kwanini masomo yasipunguzwe mapema ili kuwaondolea Watoto mzigo?

    “Tunasema vijana wajiajiri wakati sisi wenyewe wametuajiri wao, kwanini sisi tusujiajiri kwanza alafu tuone kama kujiajiri ni rahisi ndio tuwaambie nao wajiajiri?”,maneno haya yalisemwa na mbunge mmoja akiwa bungeni wakati wa kuchangia hoja iliyohusu Ukosefu wa ajira. Ni ukweli usiopingika...
  11. M

    Naomba nisaidiwe tatizo hili Ajira portal

    Wapendwa habari! Samahani naomba kuuliza nimekosea kujaza details za academic qualification nikajaza cheti Cha degree Mara mbili network ilikuwa inasumbua kumbe imejiupdate. Nakuja kuangalia CV preview naona degree Mara mbili. Halafu hakuna option ya kudelete wanaojua nifanyeje wapendwa? Maana...
  12. M

    Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Habari wakuu, naomba kwa anayeweza kujua hili tatizo anisaidie. Nataka kufanya application ya hizi nafasi za ualimu zilizotangazwa, nakutana na changamoto moja, kila nikijaribu Ku log in naaambiwa unauthorized user, nikafili nakosea password. Nikataka kubadili password ikashindikana, coz ili...
  13. Gamlemilwe

    Kujisajili kwenye Mfumo wa Ajira za TAMISEMI upande wa AFYA inasumbua

    Ninapata changamoto wakati wa kujisajili kwenye mfumo wa Ajira TAMISEMI ambapo nikifika hatua ya kuhakiki taarifa unatoka ujumbe wa kwamba Taarifa zangu haziendani na Taarifa za NECTA. Nimehakiki kila Taarifa ziko sahihi
  14. single father

    Nimepata changamoto katika mfumo wa kutuma maombi ya ajira

    Wandugu walifanikisha 100% kwa upande wa walimu nimekutana na changamoto ya kushindwa kusave machaguo hicho kitufe hakipo msaada tafadhali
Back
Top Bottom