Naomba kueleweshwa namna ya kubadili Index number Ajira Portal

Edward Rwegasila

New Member
Nov 19, 2021
1
1
Naomba msaada tafadhali.

Nilifungua account ya ajira portal ila wakati nafungua mtandao ulikuwa unasumbua nikajikuta nimeandika academic qualifications zinazofanana mara mbili kjwa wakat mmoja. sasa na mojawapo ya academic qualification ya form six niliandika SXXXX.YYYY badala ya SXXXX-YYYY.

Sasa kila nikitaka kuapply naambiwa change your index number SXXXX.YYYY to SXXXX-YYYY. Ila nikianza kubadilisha index number naambiwa multiple index number available na siwez kudelete.

Naomba msaada tafadhali jinsi gani naweza kubadirisha hyo index number au kufuta hizo multiple additions nibakize moja tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom