Chimbekeha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2018
- 1,193
- 2,163
- Thread starter
- #21
Unazidi kugongelea msumari.Kweli mkuu Bora arudi tu alikotoka
Unazidi kugongelea msumari.Kweli mkuu Bora arudi tu alikotoka
Sijafikia kukubuhu.'uzoefu' unaonyesha wewe ni mwenyeji uliye kubuhu, sasa inakuaje una gonga tena hodi?
Mswahili kabisa hasa wa Pwani.Jamaa ni mswahili Kweli Kweli...
Si kweli mtu fulaniHuku ukiandika x badala ya s unageuka kwenye list ya konki
Ndo ile ile somethingKaja na hii "xomething" sijui ndo nini
Asante mkuuKaribu sana..
Asante sanaKaribu sana..
Wasomi wa mtaani, takribani miaka kenda asaivi. Tushasoma sana.Shule zimefungwa mkuu na wengine wamemaliza utaona mengi
Huwezi kunijua kwa kusoma txt zangu tu.Hujaiva vizuri, pamoja na kusoma mazingira!!
Ref; Red colored text!
Huwezi kunijua kwa kusoma txt zangu tu.
May be my appearance can indicate something rather than text.Ila kwa kudanyeje mkuu?
Kumbe unajua kuandika vizuri Sasa kutuandika Kama mtoto wa la Saba c maana YAKE NiniNdo ile ile something
Andika vizuri achana na ma "xaxa"Napendeleaga kutumia old keyborad, ila kwa hilo tu ndo ushindwe kunipokea kweli.
Haya karibu mgeniSio hovyo mkuu, nikaribishe tu.. Labda ugeni umenifanya niwe hivyo.
hahahaaaaaaaaa!Andika vizuri achana na ma "xaxa"
HahahahWewe kweli siyo ‘malaria sugu’ unayekuja kivingine?
Nzuri pesa bhana.. Naona umeridhika na moyo wako bure.Kumbe unajua kuandika vizuri Sasa kutuandika Kama mtoto wa la Saba c maana YAKE Nini
P1 mkuu, Jogi jina lako limenikumbusha mdau mmoja wakati niko maeneo fulani alikuwa anaitwa BOGI.Andika vizuri achana na ma "xaxa"
AxnteHaya karibu mgeni