Naomba muongozo wa usafiri wa treni Mbeya - Dar es Salaam

Oohh kwa Mbeya hotels nzuri jaribu Desderia, Tughimbe, Hills View, Peace of Mind, Mbeya Hotel na Usungiro

Nauli Dar-Mbeya kwa Express train first class per bed ni 47K na chumba kimoja kina vitanda vinne so ukitaka chumba kizima utalipa 47K mara nne. Kwa Ordinary train first class ni around 39K nako ni vitanda vinne so utalipa 39K mara nne.
This is so helpful!!!!🤗🤗

Asante mwaya 🙂
 
Wanaosafiri Ijumaa hii kwenda Mbeya tufahamiane tafadhari...
Second class pale.
 
Mbeya-dar ticket unakatia Tazara pale, ingia pale ndani, kama hujawahi kuingia uliza tu pale getini watanzania si wachoyo wa maelekezo na hujihisi fahari kumuelekeza asiejua, nauli na ratiba za safari pia zipo pale.

Ngoja waje waliowahi kusafiri wakupe detail zaidi. Halafu na huu uandishi wako ni wa facebook sio jf jaribu kujirekebisha.
Dar-Mbeya nauli 7,856 TZS siku 2
 
Back
Top Bottom