Naomba muongozo wa matumizi ya dawa za jamii ya viagra

Fafanua hapa usaidie wengi. Punje za vitunguu swaumu anatafuna au Anameza hivyo hivyo? Sababu kutafuna vina harufu Sana si atamkera mpenzi wake?
unamenya hizo punje,unaweza ukatafuna ukiweza ila pia unaeza ujavichopchop afu ukaacha ata dk 5 hiv na umeze kama dawa, kama utamezea mtindi ni vizuri zaidi ila kama huwezi kuupata,maji unywe mengi
 
Libido(Nyege au Ashiki) refers to sexual desire, or the emotion and mental energy related to sex. Another term for it is “sex drive.” Your libido is influenced by: biological factors, such as testosterone and estrogen levels. psychological factors, such as stress levels.

mbona nyege nakuwa nazo mkuu, au kuwa na nyege ni vipi? mana kama kutamani wanawake natamani sana tu
 
Dah basi naomba ufafanuzi mkuu. Kuwa na nyege ni vipi, na kama sina nianze kuchukua hatua gani

Kuwa na GENYE maana yake kuwa na hamu ya kuDO ,kama ukiwa na hamu ya kuDO basi DUDU LA YUYU lazima lisimame DEDE kwa ajili ya kucheza MECHI.

Vitu vinavyopunguza sana libido:-

1.Poor diet
2.Little to no exercise
3.Poor sleep habits
4.Dehydration
5.Overconsumption of caffeine and alcohol
6.Unhealthy relationships
7.Excessive weight.

Vyakula inavyoongeza libido:-
1.Maparachichi
2.Matikiti Maji
3.Mbegu za maboga
4.Ndizi mbivu
5.Tangawizi
6.Nuts
7.Garlic
 
  • Linasimama ila linakua legelege hata uingiaji wake ni watubu kidogo
  • Na ndani ya sekunde 5 - 10 wazungu wanatoka, naweza kurudia lakini baada ya muda mrefu kidogo ila nayo ni pia akiingia tu ndani ya sekunde 5 - 10 wazungu wanatoka.
Hellow.
Mimi ni daktari nimefanya kazi idara ya urology takribani miaka miwili sasa.
Tumeona wagonjwa wengi kama wewe na wengine wagumu hata kushinda tatizo lako.

Kwa maelezo yako una fit kwenye Definitions za Premature Ejaculation(Unakojoa chini ya dakika moja/mbili, hauwezi zuia goli na hili tatizo linakupa mawazo kisaikoloji) na una Fit kwenye ugonjwa unaitwa Erectile Dysfucntion(Uume wako ni legevu kukuwezesha kupenya uke)
Tunaweza wasiliana kwa msaada zaidi(Nipo Mabibo Mwisho Specialized Polyclinic) au popote ulipo tafuta Clinic yenye Urologist hao ndo wamesomea kutatua hayo matatizo, shida ya sasa kila mtu mtaani kawa mtaalamu wa kutibia nguvu za kiume sijui mnaita....utaambiwa tumia hiki sijui kile bila kuelewa mechanism za mtu mpaka ana erect(simamisha) au ejaculate(wazungu) ziko je?

Tazama picha za tafsiri za tatizo lako kutoka American College of Urology
Screenshot at Jan 22 09-26-44.png
Screenshot at Jan 22 09-26-07.png
 
Libido(Nyege au Ashiki) refers to sexual desire, or the emotion and mental energy related to sex. Another term for it is “sex drive.” Your libido is influenced by: biological factors, such as testosterone and estrogen levels. psychological factors, such as stress levels.
Kingkong naona upo vizuri kwenye mombo ,,,,nilijua we ni LA tano C
 
Hellow , naomba kuuliza swali ili uume usimame vizuri kinachotakiwa kuwa vizuri katika mwili wako nn?
Maana kwamfano dawa za kuongeza nguvu kama viagra, kwa maelezo ni kuwa zinafanya damu ikimbilie chini kwenye uume na kuufanya usimame kwa muda mrefu

Je ili uume usimame vizuri damu ndio inahitajika kuzunguka vizuri kwenye mishipa ya uume ?

Kufanya mazoezi kwa sana kunaweza saidia tatizo hili?
 
Boss vipi hali ya maisha yako?
Unakula milo mitatu?
Hautingwi sana na masula ya kutafuta kipato?
Una mke au mwanamke ambae unakuwa nae yeye tu na unamuamini?Unaweza kuwa unapata hofu za magonjwa n.k no haki ya kawaida.
Unatumia kitu chenye addiction kama sigara,pombe n.k(punguza sana,au acha ukiweza)
Suluhisho jepesi
1.Acha kujishuku, nimeona umejibu kuwa unarudia mara 2 japo wazungu wanawahi kutoka...mpaka hapo hali sio mbaya.
2.Kula vizuri na kwa wakati, kula mboga mboga na matunda kila siku, ndizi mbivu mbili hivi.
3.Jipumzishe na usiwaze sana kuhusu hilo,kuwaza kwako kunakupa hofu...
4.Endelea na mazoezi, ukienda kuoga chukua maji ya moto kidogo(sio sana) lowesha kitambaa bandika katika mzee kwa dakika kadhaa, kisha oga maji ya baridi kwa siku kama tatu hivi.
5.MUHIMU:Unapoingia kulala lala ukijaribu kuacha kuwaza sana, lala ukiwa na faraja ya kumaliza siku salama na kuamini ukiamka kesho utakuwa na nafasi nzuro zaidi ya kupigania unayoamini.
Haya sio masuluhisho ya kidaktari, ni mbinu tu za kawaida na zinafanya kazi
 
Psychology ndo shida kubwa sana kwenye haya matatizo..

Look,.

Ukiwa umehangaika kuingiza dushe kwa muda mrefu ukeni,basi pindi tu utakapoingiza haitochokuwa dakika lazima tu utakojoa..Psychology


Kama unayafuatayo basi shida ni psychology.;

✓Milo mitatu

✓Non-diabetic(kutokuwa na kisukari)

✓Mazoezi

Viagra ili uzitumie ni lazima uandikiwe na daktari na hiyo ni baada ya kupipwa moyo n.k..tofauti na hapo ni matatizo

Kama umri umeenda i.e 55+,basi ukiandikiwa itaboost na utajiamini then acha kutumia kwa kuamini kuwa ushakuwa fit..
 
milo miwili napta
masuala ya kipato ni mtihani mzito mkuu
Mkuu usijishuku, sometimes ni mzunguko tu wa mwili unavyojisoma.Ukipanic ndio unakuwa na hofu ambayo inakuvuruga saikolojia.
Usipanic kila mwanaume alishapitia situation za kutia shaka au atapitia katika life walau mara moja au zaidi.
 
  • Linasimama ila linakua legelege hata uingiaji wake ni watubu kidogo
  • Na ndani ya sekunde 5 - 10 wazungu wanatoka, naweza kurudia lakini baada ya muda mrefu kidogo ila nayo ni pia akiingia tu ndani ya sekunde 5 - 10 wazungu wanatoka.
Pole mkuu, tatizo hapo ni mindset yako , sio nguvu za kiume ,
Hapo ondoa hayo mawazo na hofu pia , pia kula vizuri milo yote mitatu , fanya mazoezi , kunywa maji mengi , kula matunda ,pia kama unatabia ya kupiga nyeto na kuangalia picha za utupu acha .

Zingatia hayo mkuu, hutawaza kutumia viagra
 
Back
Top Bottom