Naomba muongozo wa matumizi ya dawa za jamii ya viagra

Mbwa dume

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
3,921
2,000
Wewe una tatizo la kisaikolojia zaidi na sio tatizo la kimwili....nakushauri achana na dawa tafuta mwanamke utakaemwamini uwe muwazi kwake umuombe akusaidie kuovercome hilo tatizo
Hapo ndo atachemka zaidi maana kwa hawa wanawake wa sasa ataishia kumtamkia maneno ya kumkatisha tamaa kama " yaani wewe huwezi kunifikisha bora tulale tu"
Halafu lazima awe anampa hela sana ili asimtangaze kwa marafiki kwamba jamaa hamna kitu
 

ZOPPA

JF-Expert Member
Jan 20, 2017
2,633
2,000
Wakuu mimi nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu. Nimejaribu kutumia dawa nyingi sana za kienyeji pamoja na vyakula bila ya mafanikio.

NImejaribu kutumia vumbi la congo pia limenitupa mkono.

Sasa nimebakisha mawili tu. Nimenza mazoezi takriban wiki ya pili sasa na naendelea nayo lakini bado hukuna dalili yoyote ila sitegemei kuacha.

Na la mwisho ni kujaribu kutumia hizi dawa mana hali imekua mbaya kijamii, heshima yangu ipo kwenye lowest point kabisa.

Naomba muongozo na effect zake niweze kuzielewa kabisa.

Nimekua na wasiwasi mkubwa juu hizi dawa mana nimeshasikia sana mitaani kama zishaua watu, na ndiomana mpaka leo bado nimekua nasitasita.
tatizo lako ilo lnatibka kama utakuwa tayali mimi nilisha kata tamaa ila nilipona bila ata mia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom