Udereva nishasoma nataka ICTICT veta? Ndo uje uwe programmer utusumbue. Nenda kasome udeleva pale NIT.
Nenda DIT pale.Udereva nishasoma nataka ICT
Npo nje ya dsmNakushauri uwende pale veta ya kipawa ndio kuna hayo mambo ya it na ict utayakuta
Hawama. Short course waLeNenda DIT pale.
Miezi 3 ? Labda sita kupitia www.tzcodeacademy.com kwa nchi za East AfricaHabari wana JF nilikua naomba nipate mwongizo nataka kujiunga veta koz fup miez 3 ya ICT mwaka huu nahitaji mawasiliano nao Veta DSM au mwenye kua na habari wanaanza lin na bei anifahamishe ntashukuru