Naomba msikilize wimbo HAKI by Sugu wana dola ya CCM

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,203
103,741
Kwa mambo yanayoendelea Zanzibar na Mwanza kuhusu mazishi ya Kamanda Mawazo, nina wadedicate wana CCM na dola yake wimbo haki.

Wimbo huu ulifanywa na Mh.Sugu Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA) na Justini Kalikawe.

Mistari ya Chorus yake ni hii...H A K I...Herufi zake chache sana neno HAKI...Haitulazimu kushika bunduki HAKI!!!X3
 
Back
Top Bottom