Sado 15000 dagaa wabichi wenye nyama wasio na mchanga, kukaanga nakaanga Mimi bei inatofautiana pia, kuangizwa dagaa pia bei zimetofautiana
Cha muhimu uhaminifu mkuu nataka wa mfano tu ndo naanza huu Uzi wa piliDah mzee mwenzangu ,heshima yako nimeipenda sana komenti yako ,hakika aifanyie kazi mno
Maana kwa hili analotaka naona akikosa kuaminiwa kabisa hata na wataohitaji kushirikiana naye .
Unataka sado au ndoo mkuuWeka vizuri hapo kwenye kukaanga Kuna gharama yake au?
Taja gharama zote jumla isipokuwa nauli ya kusafirisha mzigo.
Sado unamaanisha Ile ndoo ndogo ya Lita 10 au like kikopo cha Lita 3 sijui 4?
Sado ndo kikopo cha Lita kile, sio ndooWeka vizuri hapo kwenye kukaanga Kuna gharama yake au?
Taja gharama zote jumla isipokuwa nauli ya kusafirisha mzigo.
Sado unamaanisha Ile ndoo ndogo ya Lita 10 au like kikopo cha Lita 3 sijui 4?
Heaateri maneNitaamini vipi kama nikikutumia pesa utanitumia mzigo wangu?
Nani anakuwa shahidi hapo?
Unaulizwa swali unajibu kwa swaliUnataka sado au ndoo mkuu
Basi tuache hapo hatuelewani.Unataka sado au ndoo mkuu
Nitaamini vipi kama nikikutumia pesa utanitumia mzigo wangu?
Nani anakuwa shahidi hapo?
Lita ngapi?Sado ndo kikopo cha Lita kile, sio ndoo
Anataka wateja wakati kuwasiliana hajuiBasib tuache hapo hatuelewani.
Maana nimekuuliza kuhusu tafsiri ya sado huko kwenu.
Kwetu sado ni kopo ya Lita 4, mkoa wa Pwani sado wanamaanisha ndoo ndogo ya Lita 10 wao hiyo sado ya kwetu wanaita amboni.
Unaweza kuleta sado ya kwetu kwa mtu wa Pwani akaja kutangaza wewe mwizi tapeli umemletea mzigo mdogo amboni.
Hapo uhakikaDkt. Gwajima D samaki nakutafutia na kukutumia karibu sana 0622730684
Sio kweli.Hapo uhakika
Basi tuache hapo hatuelewani.
Maana nimekuuliza kuhusu tafsiri ya sado huko kwenu.
Kwetu sado ni kopo ya Lita 4, mkoa wa Pwani sado wanamaanisha ndoo ndogo ya Lita 10 wao hiyo sado ya kwetu wanaita amboni.
Unaweza kuleta sado ya kwetu kwa mtu wa Pwani akaja kutangaza wewe mwizi tapeli umemletea mzigo mdogo amboni.
Huwezi juaSio kweli.
Lita ngapi?
Mbona maelezo nusu nusu?
Au unapenda kuchati!
Anataka wateja wakati kuwasiliana hajui