Naomba msaada wenu jamani katika ushauri, mimi nimeshindwa

belie

JF-Expert Member
Sep 19, 2014
387
260
Habari zenu jamani

Nina rafiki yangu kipenzi anahitaji ushauri jamani, yaani huyu shoga yangu anateseka sana katika mapenzi, kiukweli hajawahi kukaa na boyfriend zaidi ya miezi sita wasiachane, ni hivi, kuna classmate wangu nilikutana nae hotel moja hivi,

nilienda ku swim na huyu shoga angu, sasa wakapendana wenyewe na kubadilishana contact bila mimi kujua, ila badae akaja kunambia baada ya kuniuliza vimaswali vya hapa na pale kama namjuaje, alikua vipi mwanzo.

Sasa anacholalamika yeye ni kwamba huyo shemeji wangu (classmate) ana matusi sana, wana mwaka mmoja sasa katika mapenzi yao, na ukiwaona kama ndege vile jinsi wanavyopendana, yaani mpaka nasikia raha yani maana kalia sana kuhusu mapenzi, ila sasa hivi naona hali imeanza kubadilka,

yeye anachodai ni kwamba anatukana kupitiliza na kama heshima imeshuka hivi akiwa na hamu na yeye utasikia anamwambia nina hamu njoo kwangu yaani lile neno lenyewe kabisa mara una makalio mazuri mke wangu, mara wewe malaya uko wapi, yaani ni matusi, sasa analia sana anasema hamueshimu tena, sijui kashapata mwingine haelewi.

Nimejaribu kuongea na huyo kaka akasema anapitiwaga tu, ila anamuheshimu na anampenda, nikamuuliza unavuta bangi, akasema hapana. na nikimwambia hivyo ataacha siku mbili anarudia tena.

Embu naomba mnisaidia kushauri hawa watu maana ni kila siku naletewa kitu kile kile, mi mwenyewe yangu yananishinda shoga yangu anadai ana kama miezi miwili tangu tabia hii ianze.

Nawasilisha.

Asante.
 
Hapo n huyo dada awe waz kwa huyo clAssmAte wako n awe huru kusema anachojiskia asione soo.....halafu mwanaume anakuita malayA upo tu
 
ngoja kwanza tumalizie ivi kazi bana na mada kama hizi siku nyingine zitoe usiku utapata ushauri mzuri
 
huyo rafiki yako ajiongeze......mwanaume ana mitusi yeye bado kang'ang'ana......ni dalili mbaya hiyo.....kama anamrekebisha arekebishiki na yeye anaona hawezi kukaa na hiyo mitusi....basi waachane....kwani wale wa mwanzo waliachanaje......
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hapo tatizo ni tofauti ya mfumo wa maisha na malezi kati yao.

Kijana wa kiume anaonekana ni mtoto wa kihuni hivyo ameathirika katika matumizi ya lugha..hajui kutumia lugha ya staha!

Binti anaonekana amelelewa na kukulia katika mazingira yenye maadili ingawa baada ya kuanza kujichanganya katika jamii ameshindwa kujituliza katika kufanya maamuzi magumu yanayohusu maisha yake.

Ingawa wanapendana lakini kitabia hawaendani.kitu ambacho ni hatari kwani kwa mjibu wa maelezo yako kunakila dalili za ukomo wa uvumilivu kwa binti.

Sasa cha kumshauri ni kwamba ajipime kama yuko kwenye mahusiano sahihi au bado anafanya majaribio!?
mwambie achague cha kutoakafara kati ya nafsi yake na mapenzi!!!

Mwisho,binti anapaswa kujituliza sana wakati wa kuanzisha mahusiano ya kimapenzi kwani maamuzi atalayofanya yawe ya mda ama ya kudumu yana athari hasi na chanya katikaaisha yake ya leo na kesho.
 
Hapo n huyo dada awe waz kwa huyo clAssmAte wako n awe huru kusema anachojiskia asione soo.....halafu mwanaume anakuita malayA upo tu

anakulwa kabla ya ndoa, ashakuwa na wanaume kibao ambao mahusiano yalishindikana.. HUYO SIO MALAYA?

kingine huyo dada inaonekana ni minder wa vitu vidogo vidogo... sasa ukute huyo bf wake anamwita just kama utani wa mtu na demu wake (intimate style) ila yy keshaumia...

aangalie asije kufa kabla hajaolewa kwa mambo madogo madogo....

bahati yake hajakutana na mimi.... mahusiano yangekufa na siku tatu...
 
Na wewe mzee wa mitusi eeh?
 
Umenipaka asee ila umeongea point ila usiwe mzee wa mitusi
 
ajaribu kwenda nae sawa tu akiambiwa "upo wapi we malaya" ajibu "nipo .... njoo basi malaya wangu miss u"
baada ya muda watakuwa sawa tu mbona vitu vidogo hivo mi naona ni kachumbari tu za mapenzi!!!
nmekumbuka siku 1 ma mkwe anantambulisha kwa shoga ake huyu ni "mwali wangu" ha ha ha mme wangu kichinichini akasema "mwali wapi mseng* huyu" ha ha ha mi naona sawa tu ilimradi asiniite hvo mbele za watu lol....
 
we tena unaweza kunifaa kabisa....
 
Poleni sana,
Nilivyoona,
Kama hii tabia awali aliikuta huyo boy wake anayo basi atafute namna ya kumbadili coz kama unavosema anampenda na wanapendana,at the same time wawe na muda zaid wa u bf wasipange ndoa kwanza kama anaweza kumtukana mkewe vp watu wa nje?,
Pili kama hakumkuta na hiyo tabia in common sense achape lapa hapo hana chake,wanaume sehem wanyopenda wananyenyekea sana na haina haja ya kumwambia kosa akikosea automatic utajua kuwa kakosea lakn ikifikia had we unamwambia na bado anarudia ujue yupo anayemuheshimu zaidi yake
Tatu,kama kitu hukipendi usiwe unakuwa mwepes wa kusamehe kitaalamu itakuja kukupa shida kimaisha kwan utakuwa na mzigo wa mawazo kichwan at the end unaweza kuja kilipiza kisas kwa wasiohusika kwa loloten
Fanya maamuz magumu ikibid jaribu kuwaona wataalamu wa ushauri wa mahusiano,pm nikuunge nao....

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Umenipaka asee ila umeongea point ila usiwe mzee wa mitusi

unajua nikikuita "we malaya wangu" kimahaba inakuwa na raha fulani kuliko kuambiwa "mpenzi"kikauzu...

context ya maneno hayo ni ipi? kama anaambiwa lete papuchi (tafsida) wakat huyo bf wake amechukia inaweza kuwa shida lakini bf wako anakuambia nimemisi takoma yako huoni raha? HUSHUKURU?
 
ajaribu kwenda nae sawa tu akiambiwa "upo wapi we malaya" ajibu "nipo .... njoo basi malaya wangu miss u"
baada ya muda watakuwa sawa tu mbona vitu vidogo hivo mi naona ni kachumbari tu za mapenzi!!!
nmekumbuka siku 1 ma mkwe anantambulisha kwa shoga ake huyu ni "mwali wangu" ha ha ha mme wangu kichinichini akasema "mwali wapi mseng* huyu" ha ha ha mi naona sawa tu ilimradi asiniite hvo mbele za watu lol....

Hahahahaaaa lol ila mbona raha tu
 
unajua nikikuita "we malaya wangu" kimahaba inakuwa na raha fulani kuliko kuambiwa "mpenzi"kikauzu...

context ya maneno hayo ni ipi? kama anaambiwa lete papuchi (tafsida) wakat huyo bf wake amechukia inaweza kuwa shida lakini bf wako anakuambia nimemisi takoma yako huoni raha? HUSHUKURU?

Inategemea nimemzoesha kuongea vipi
 
Mbwa ukimjua jina hakusumbui,ajue hiyo ndio tabia halisi sasa ya mtu wake. Kama amejaribu kumrekebisha ikashindikana basi ana hiari ya kujiongeza achukulie poa au kama hawezi kabisa achape lapa!!!
 
Back
Top Bottom