Naomba msaada wenu jamani katika ushauri, mimi nimeshindwa

Naomba msaada wenu jamani katika ushauri, mimi nimeshindwa

anakulwa kabla ya ndoa, ashakuwa na wanaume kibao ambao mahusiano yalishindikana.. HUYO SIO MALAYA?

kingine huyo dada inaonekana ni minder wa vitu vidogo vidogo... sasa ukute huyo bf wake anamwita just kama utani wa mtu na demu wake (intimate style) ila yy keshaumia...

aangalie asije kufa kabla hajaolewa kwa mambo madogo madogo....

bahati yake hajakutana na mimi.... mahusiano yangekufa na siku tatu...

kwahiyo km uhusiano wa kwanza umefeli asuse tu asiwe na mwanaume mwngne eti kisa umalaya?mapenz hayasuswi ndugu ni km siti ya daladala ukishuka ww mwenzio anakaa mambo yanaendelea ili mradi muelewane....na kutoa papuchi kabla ya ndoa si umalaya n makubaliano tu afu wenye ndoa ndo wanaongoza kwa kuchapa na kuchapwa nje ndoa haina heshima siku hizi.
 
ajaribu kwenda nae sawa tu akiambiwa "upo wapi we malaya" ajibu "nipo .... njoo basi malaya wangu miss u"
baada ya muda watakuwa sawa tu mbona vitu vidogo hivo mi naona ni kachumbari tu za mapenzi!!!
nmekumbuka siku 1 ma mkwe anantambulisha kwa shoga ake huyu ni "mwali wangu" ha ha ha mme wangu kichinichini akasema "mwali wapi mseng* huyu" ha ha ha mi naona sawa tu ilimradi asiniite hvo mbele za watu lol....

ha ha ha ha ha haaaaa nimeipenda hii!!kichinichini...
.......!!!?duuuuh!
 
Jamaa anaonekana msela sana afu sister duu mwenyewe hyo michezo aielewi kabisa' akitaka kwenda sawa na huyo mchizi anatakiwa amsome tabia zake na ajifunze kuzoea hzo lugha za mwana! Demu wangu alipata tabu sana wakati anaanza mahusiano na mm'
 
Siuseme niwewe tu kwanini usimwambie akaja mwenyewe humu kuomba ushauri?toa ujingawako humu
 
Nilishakutana na msela mavi wa hivyo. Yani utani wake yeye ni wa kutukana. Nilimpiga chini baada ya kunijibu kuwa hawezi badilika eti kisa mimi sipendi
 
Habari zenu jamani

Nina rafiki yangu kipenzi anahitaji ushauri jamani, yaani huyu shoga yangu anateseka sana katika mapenzi, kiukweli hajawahi kukaa na boyfriend zaidi ya miezi sita wasiachane, ni hivi, kuna classmate wangu nilikutana nae hotel moja hivi,

nilienda ku swim na huyu shoga angu, sasa wakapendana wenyewe na kubadilishana contact bila mimi kujua, ila badae akaja kunambia baada ya kuniuliza vimaswali vya hapa na pale kama namjuaje, alikua vipi mwanzo.

Sasa anacholalamika yeye ni kwamba huyo shemeji wangu (classmate) ana matusi sana, wana mwaka mmoja sasa katika mapenzi yao, na ukiwaona kama ndege vile jinsi wanavyopendana, yaani mpaka nasikia raha yani maana kalia sana kuhusu mapenzi, ila sasa hivi naona hali imeanza kubadilka,

yeye anachodai ni kwamba anatukana kupitiliza na kama heshima imeshuka hivi akiwa na hamu na yeye utasikia anamwambia nina hamu njoo kwangu yaani lile neno lenyewe kabisa mara una makalio mazuri mke wangu, mara wewe malaya uko wapi, yaani ni matusi, sasa analia sana anasema hamueshimu tena, sijui kashapata mwingine haelewi.

Nimejaribu kuongea na huyo kaka akasema anapitiwaga tu, ila anamuheshimu na anampenda, nikamuuliza unavuta bangi, akasema hapana. na nikimwambia hivyo ataacha siku mbili anarudia tena.

Embu naomba mnisaidia kushauri hawa watu maana ni kila siku naletewa kitu kile kile, mi mwenyewe yangu yananishinda shoga yangu anadai ana kama miezi miwili tangu tabia hii ianze.

Nawasilisha.

Asante.


mbona vitu vya kawaida hivyo,sema hawajazoeana tuuh.mbona mi my gal namuitaga ayo majina km malaya,kicheche,ms.eng.e na mengine mazito na sasa ivi tuna miaka 3.achane ujinga,abadilike(asome alama za nyakati)
 
Back
Top Bottom