Naomba msaada wenu jamani katika ushauri, mimi nimeshindwa

Naomba msaada wenu jamani katika ushauri, mimi nimeshindwa

Mbona kila mara waleta jamvini matatizo ya wenzako tu ndugu??
 
ajaribu kwenda nae sawa tu akiambiwa "upo wapi we malaya" ajibu "nipo .... njoo basi malaya wangu miss u"
baada ya muda watakuwa sawa tu mbona vitu vidogo hivo mi naona ni kachumbari tu za mapenzi!!!
nmekumbuka siku 1 ma mkwe anantambulisha kwa shoga ake huyu ni "mwali wangu" ha ha ha mme wangu kichinichini akasema "mwali wapi mseng* huyu" ha ha ha mi naona sawa tu ilimradi asiniite hvo mbele za watu lol....
Halafu wewe!!!!!!!!!!!
 
Mbwa ukimjua jina hakusumbui,ajue hiyo ndio tabia halisi sasa ya mtu wake. Kama amejaribu kumrekebisha ikashindikana basi ana hiari ya kujiongeza achukulie poa au kama hawezi kabisa achape lapa!!!

Bestiiii kuna watu wapo strict mpaka wanakosa ladha ya maisha.......
Vipi mbwa wako ana mambo gani?
 
I like when you call a sped "sped" and not a "big spoon".

Raha ya Mapenzi muwe washkj na muenjoy ujana wenu,sasa anataka mambo ya kuombwa "unyumba" na sio kuombwa "papuchi".

Binafsi napenda mtu direct na anayetaja neno kama lilivyo,"Mpenzi nina nyege" na si "mpenzi nina hamu" nikikuuliza hamu ya nini unatumbua macho tu,una hamu umekuwa mbuzi au njiwa

Akijifanya mstaarabu sana mwambie akasomee usista wa kikatoliki
 
Belie za siku jaman... nikiona tu post zako nalowa jasho mwili mzima.
 
ajaribu kwenda nae sawa tu akiambiwa "upo wapi we malaya" ajibu "nipo .... njoo basi malaya wangu miss u"
baada ya muda watakuwa sawa tu mbona vitu vidogo hivo mi naona ni kachumbari tu za mapenzi!!!
nmekumbuka siku 1 ma mkwe anantambulisha kwa shoga ake huyu ni "mwali wangu" ha ha ha mme wangu kichinichini akasema "mwali wapi mseng* huyu" ha ha ha mi naona sawa tu ilimradi asiniite hvo mbele za watu lol....

Hivi nasty words ni zipi tena......?......na vile kuwa b i t c h kwa mpenzio ni nongwa......?.......nataka tu nijue........
 
Halafu wewe!!!!!!!!!!!
belly_dancer-1118.gif belly_dancer-1118.gif
 
Hivi nasty words ni zipi tena......?......na vile kuwa b i t c h kwa mpenzio ni nongwa......?.......nataka tu nijue........
unajua nasty zikiwa kwa kizungu ndo zinapendwa zikiwa kwa kiswahili zinaonekana matusi makubwa, kuwa b i t c h kwa bebe si ndo habare you know wora m sayn
 
unajua nasty zikiwa kwa kizungu ndo zinapendwa zikiwa kwa kiswahili zinaonekana matusi makubwa, kuwa b i t c h kwa bebe si ndo habare you know wora m sayn

Sasa hii thread sijajua shida yake.......unaweza niambia kwa ufupi.......?
 
Sasa hii thread sijajua shida yake.......unaweza niambia kwa ufupi.......?

ushauri unahitajika jamaa ana matusi, mi nashauri asimuite malaya amuite b i t c h
ushauri wako tafadhari!!!
 
Waambie watafute muda waongee wao amweleze vitu ambavyo havipend but ww ukiwa unakwenda kumueleza matatizo yake ambayo yanafanyika kwenye faragha zao unakosea sana maana jamaa atajiuliza mengi.. wameongea hayo tu....KAMA HAUWEZ KUJISIMAMIA WEWE HAKI UTAKUWA UNAISIKIA TU
 
Wengine washaambiwa bad boys get all the he good women... And kutukana ndio u-bar boy wenyewe
 
You can't complain about somebody crossing the line when you failed to set the boundaries.
 
huyo dada atakuwa kaokoka ndo mana hapendi hayo maneno (kidding)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom