Naomba Msaada wa kuwapata hawa watu

Naomba Msaada wa kuwapata hawa watu

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2009
Posts
5,100
Reaction score
1,955
Wana ukumbi wa JF, kwa yeyote anaemfahamu mmoja (au wote miongoni) kati ya hawa wafuatao naomba ani PM.

1 Gladith Kirey (kuna kipindi alikuwa anafundisha Jangwani Sekondari Dar).

2. Bertha Matto, Joram Giguna na Yokobeth Elias (wote hawa walikuwa wanafunzi Sekondari ya Wigehe).

3. Omari Chungu (huyu alisoma Sekondari ikiitwa Ovada Kondoa).

Baraka za Bwana Yesu ziwe nawe unaesoma ujumbe huu!
 
gladith kirey alikuwa anafundisha somo gani na form ngapi?
 
Hapo namba 2 mwaka gani? Afu walikuwa vipanga?

Ubaya wadada wakiolewa majina yanabadilika.
 
Hapo namba 2 mwaka gani? Afu walikuwa vipanga?

Ubaya wadada wakiolewa majina yanabadilika.

Kongosho acha fujo! Hayo majina (and am sure you know this) ni waliyoyatumia wakiwa shule.
 
Kirei alinifundisha chemistry form 4 mwaka 2012 form 4R jangwani
 
Back
Top Bottom