Victoriously
Member
- Jan 14, 2018
- 60
- 49
pliz naomba msaada wanu wana jamii forum! nitajie shule na eneo ambalo mtu akiwa anafundisha hiyo shule anaweza akawa anaishi sehemu gani au mtaani gani!ili kupata huduma za kijamiii,

daaaaah sory shule za secondary[zipo nyingi tu,kama morogoro secondary ambayo ipo mjini kati,eneo la forest ambapo pia kuna makazi ya watu,kuna pia kigurunyembe secondary ambayo ipo mjini kati nayo ,kuna nyingine kama uluguru,kingo ,kayenzi,mji mpya secondaries zote hizi zipo kata ya kihonda,ambayo ni dakika 15 tu kutoka mjini kati kabis....,kwa kumalizia mkuu mbona haujasema ni shule za secondary au ni primary ambazo hunaitaji in formations zake.
baadhi ya shule tu ata tano zilizopo town kabsaZote?
pliz naomba msaada wanu wana jamii forum! nitajie shule na eneo ambalo mtu akiwa anafundisha hiyo shule anaweza akawa anaishi sehemu gani au mtaani gani!ili kupata huduma za kijamiii,
okeyyy shukrani sanaaaizo zote nilizokutajia ni shule za secondary na zote zipo morogoro mjini