CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 6,939
- 22,996
Nina wasi wasi na huu ujanja wakuunganisha alioshauri pamjela kwasababu
kwa uelewa wangu Data cable ikikatika haiungiki (sijui kama nipo sahihi) na kama
ukiunganisha hutoweza pata Data ila ule waya/cable utapitisha umeme tu.
Nimejaribu mara kadhaa kuunganisha USB za simu zinazo support data read
ila nikiunganisha simu inachaji tu ila ule waya hauwezi tena kusoma data.
Hii nadhani hata kwenye TV ule waya wakutoka kwenye dish to decoder huwezi unganisha
na kama ukiunganisha Tatizo la signal kupotea halitoisha,ndio mana Dish waya wake
kutoka juu mpk kwenye decoder huwa ni direct,kampuni za ving'amuzi kwa kulijua hilo
wanatoa nyaya refu ili kuepusha usumbufu wa kuunganisha waya,Tukirudi kwenye case
yetu ya Kuunga SATA CABLE na ika support data hilo sina uhakika nalo labda Chief-Mkwawa
unisaidie hapo kama linawezekana au lah,maana mimi kuunga naungaga Power cable tu na si Data cable.