Naomba msaada wa wapi naweza kupata hi coolant

edward93

JF-Expert Member
Jun 27, 2015
561
1,334
Habari wakuu! Naomba msaada wa wapi naweza kupata hi coolant?
IMG_2475.jpg
 
Weka ya kawaida hiyo ina antifreeze kwa sababu ya baridi maji huwa yanaganda so antifreeze inazuia maji yasigande sisi huku hatuna winter mzee

Asante kwa ushauri mkuu! Nafahamu hilo ila kuwa antifreeze haina maana kuwa haiwezi kuwa applicable kwa nchi zenye joto, ndio mana kuna oil za 0W zinatumika na huku pia kwenye nchi zenye joto. So hiyo ni additional advantage ya product but haifanyi iwe limited.
 
Coolant la msingi ni kujua ni material gani yametumika kutengeneza kipozeo chako. Ni maji tu yenye antirust agents. Kwa oil sawa naelewa viscosity inahusika ila hayo maji tu
 
Kama upo DAR jaribu pale mtaa wa jamhuri ukishindwa Rudi kisutu kuna maduka ya wahindi hautakosa hiyo..
 
Coolant la msingi ni kujua ni material gani yametumika kutengeneza kipozeo chako. Ni maji tu yenye antirust agents. Kwa oil sawa naelewa viscosity inahusika ila hayo maji tu

Coolant sio maji tu! Lengo la uzi huu sio mjadala ila ni kupata ninachohitaji. Asante kwa your concern mkuu! Nmekupa mfano wa oil nlidhani ulinielewa ila kwa ulichojibu ukunielewa nilimaanisha hivi ukiona code ya oil mfano 5w30 jua hyo namba ya kwanza inastand kwa viscosity in cold climate and the lower the number the best the oil for winter climate! Je huku kwetu ukuwahi kuona mtu anatumia oil ya 0w20?? Vitu aviko limited as you think kuna facts nyingi! Based on coolant unaweza ndio kumix ila chakuangalia ni compounds za coolants zifanane mfano ethylene glycol based coolant zinaweza kuchanganywa hata kama zinatofautiana rangi! NAHITAJI HIYO COOLANT FOR MY OWN INTEREST MZEE NA SIO KAMA SINA OPTION OR SIJUI KUHUSU COOLANTS. Asante
 
Back
Top Bottom