Msaada wa kupata mafuta ya kutengeneza sabuni za miche kwabgharama nafuu

man B'

Member
Aug 17, 2014
43
31
Wakuu kichwa habari kinasomeka, nimeamua kujikwamua kwa kuanza kutengeza sabuni za miche, changamoto kuu nayoipitia ni upatikanaji kwa malighafii hii kwa gharama kubwa hasa ya mafuta.

Kiasi kwamba faida nashindwa kuipata kabisa.

Msaada kwa yeyote mwenye kufahamu wapi naweza kupata mafuta haya kwa gharama nafuu iwe ya kutoka nje au ndani ya Nchi.

Karibuni ndugu kwa msaada.
 
Hiyo ndio bei yake sehemu nyingi, ata mawese ni hivyo hivyo; kama utapenda kutumia mbadala kama maweze labda uagize kigoma unaweza kupata kwa bei nafuu.
Hii biashara itakua ngumu kwangu, ukilinganisha na bei iliyopo sokoni inakatisha tamaaa
 
Back
Top Bottom