naomba msaada sim yangu nokia 5230

Jom06

Member
Mar 23, 2012
37
2
wadau wa jamii,kwa anayefaham utatuzi wa simu yangu,mda si mrefu nilikua na download baadhi ya application kwenye hiyo sim,lakini ghafla ikazima na kila nikiwasha inatokea nokia basi haiwaki tena.mda mwingine ikiwaka siwez kutumia kwa njia yoyote ile,mpaka nitoe betri.simu yenyewe ni nokia 5230.
 
No way out/alternative nenda kaiflash(scan) ila kwa mara nyngine kuflash huleta matatzo kene simu
 
hata kama ikiwa siwez kuformat coz,ukitach *#73 basi ina stak.hapo mpaka nitoe betr.ku flash naweza kufanya mwenyewe?au mpaka kwa fundi
 
hata kama ikiwa siwez kuformat coz,ukitach *#73 basi ina stak.hapo mpaka nitoe betr.ku flash naweza kufanya mwenyewe?au mpaka kwa fundi

blazaaa touch screen nokia zinaformatiwa kwa style hii

1) zima simu
2) bonyeza button ya kupigia simu (ya kijani), button ya kukata simu (nyekundu) na button ya kamera (inakaa kwa ubavu) bonyeza zote kwa wakati mmoja
3) washa simu huku umebonyeza hizo buttons (vizuri muwe wawili kubonyeza button)
4) simu itawaka then utaona unaambiwa enter code au select region ujue ur done
5) mara nyingi code ni 12345 au 1234

ukifanikiwa leta feedback
 
Ishu hapo kaka ni kuflash kabisa. Ukifanikiwa kuiwasha,nakili vitu vyako vya muhimu ulivyosave kwenye simu alafu ipeleke kwa fundi umwambie aiflash.
 
Ukifanikiwa pia usipofanikiwa ni vema urudi na majibu yaonekana watalaam wakakushauri njia nyingine kufikia malengo ya kuondoa tatizo.
 
thanks all,mliochangia kwa msaada.sure nilikua sijui cha kufanya,chif-mkwawa nashukuru nimefanikiwa kwa kile ulichonielekeza.je?hii simu ni symbian,android au?ntashukuru kwa atakaye nitofautia.
 
thanks all,mliochangia kwa msaada.sure nilikua sijui cha kufanya,chif-mkwawa nashukuru nimefanikiwa kwa kile ulichonielekeza.je?hii simu ni symbian,android au?ntashukuru kwa atakaye nitofautia.

Symbian s60v5
 
Ama kweli JF ni kiboko ya

mambo yote!

Ukikwama kwa mambo yako ukashindwa kuifikisha humu jamvini hakika WADAU wakisikia ni kwamba BAN itakuhusu mpk ujulikane huko ulipo kimakazi!

JF Pamoja Daima!!
 
wadau wa jamii,kwa anayefaham utatuzi wa simu yangu,mda si mrefu nilikua na download baadhi ya application kwenye hiyo sim,lakini ghafla ikazima na kila nikiwasha inatokea nokia basi haiwaki tena.mda mwingine ikiwaka siwez kutumia kwa njia yoyote ile,mpaka nitoe betri.simu yenyewe ni nokia 5230.

Limeshawahi kunikuta hlo tatzo kwnye cmu kama hyo dawa ni kuflash2 wala ucsumbuke.
 
Back
Top Bottom