mwananzwalile
Member
- Dec 6, 2019
- 5
- 2
Sio kwa enzi hii ya mzeebaba Magu. Haki bin sawa hata Kama huna 100. Tutarajie wabunge wapya wengi, na watoa rushwa watakamatwa sanaaaAndaa kwanza account ya benki iloshiba,tafuta chama cha siasa,huko utajifunza mengi.
TumbuaSio kwa enzi hii ya mzeebaba Magu. Haki bin sawa hata Kama huna 100. Tutarajie wabunge wapya wengi, na watoa rushwa watakamatwa sanaaa
unaishi nchi gani wewe! labada vyama vingine lakini sio huku kwetu!Sio kwa enzi hii ya mzeebaba Magu. Haki bin sawa hata Kama huna 100. Tutarajie wabunge wapya wengi, na watoa rushwa watakamatwa sanaaa