Naomba kujuzwa uzuri na changamotoza Xiaomi Redmi 12c,

Samboko

JF-Expert Member
Oct 30, 2011
5,417
7,732
Habari wakuu wa technology humu jukwaani naomba kujuzwa kuhusu hii simu nataka niichukue wiki hii, camera uwezo wake maana ni ya biashara na uwezo wa vitu vingine pamoja na changamoto zake

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni 12pro, samabani wakuu
 
Back
Top Bottom