Naomba msaada nataka nigombee ubunge naanzia wapi na kukamilisha vitu vyote

mwananzwalile

Member
Dec 6, 2019
5
2
Ambavyo mgombea anatakiwa kuwa nazo
IMG_20200514_115501.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu ya darasa la saba ndo kigezo kikuu.
Yaani kujua kusoma na kuandika hii ni kwa mujibu wa katiba ya Jamuhuri ya Mungano Tanzania.
 
uchaguzi meko kauharibu tayari kwa kuwatoa Mawakala wasipewe Copy ya matokeo maana yake aibe mkose ushahidi huyu hafai kabisa ktk utawala bora
 
Sio kwa enzi hii ya mzeebaba Magu. Haki bin sawa hata Kama huna 100. Tutarajie wabunge wapya wengi, na watoa rushwa watakamatwa sanaaa
unaishi nchi gani wewe! labada vyama vingine lakini sio huku kwetu!
 
Kama mpaka sasa hujui pa kuanzia nakushauri jipange kwa mwaka 2025

Kwa sasa umechelewa!

Wenzio tunasubiri kipenga kilie muda wowote tuingie uwanjani
 
Back
Top Bottom