KingPower
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 1,099
- 1,747
Habari wakuu Naamini kbsa JF ni home of great Thinker.
Bila kupoteza muda twende kwenye mada
Kuna Mdogo wangu kaajiriwa ualimu (ajira za mwaka Jana) hali ya kuwa yeye ni Muhandisi (Engineer) na anafundisha shule ya ufundi.
Ameomba ajira za uhandisi umeme Tamisemi na ameitwa Kwa ajili ya usahili trh 13/11/2021.
Aliipitisha barua Kwa mkuu wa shule then kwa afisa elimu na mkurugenzi toka trh 10/11/2021.
Mpaka dead line walikua goma kumsainia (afisa elimu ) sababu ni kua ajathibitishwa Kazini ,
Dogo akaenda Kwa afisa utumishi jibu alilopewa kua hawezi kumruhusu kisa atalaumiwa ukipatika upungu eneo lake la kazi., Pia atawabania wenzake nafasi ikitokea atapata.
Dogo ikabidi atume ivo ivo Siku ya dead line (aliandika barua bila kupitisha uko) na jambo zuri ni kua ameitwa kweny interview Dodoma
Sababu ya Dogo kutaka kazi hii
1) Ni ndoto yake na ni kitu alichosomea
2) TSC chama cha walimu hakiwatambui kwaiyo hawezi kupanda madaraja na kupata stahiki za kiualimu
3) Hawezi kuthibitishwa kazini Kwa sababu hana TSC number pia hamna muongozo wowote juu ya hatma yao (labda wakasome crush program) kumbuka kasoma 4 year tofauti na walimu walio soma 3 year.
Wakuu ushauri wenu ni muhimu juu ya hili
Je akafanye interview na akifanikwa kupita kwenda oral ile index number yake ya form 4 itamuonesha alipo na utata unaweza kuanzia apo.
Karibu sna wakuu anzie wapi?