Alikuwa bado yuko probation yaani ile miezi 12 ya mwanzo akifanyiwa close supervision mpaka amalize athibitishwe kisheria hao waligoma wako sahihi under porbation hupati hata likizo ya mwaka so wanaweza mblock kumfanyia kitu mbaya
Na swala la kuitwa interview bado hajamaliza hakikishe mpaka anaitwa kazini kimya kimya ndo aje wazambia aache
Na swala la kuitwa interview bado hajamaliza hakikishe mpaka anaitwa kazini kimya kimya ndo aje wazambia aache

pamoja Mkuu