Naomba msaada wa ushauri kwenye tatizo hili la mguu kupata maumivu

speech

JF-Expert Member
Mar 4, 2022
482
1,247
Habari za wakati huu wakuu....

Nimekuwa nikipata maumivu ya mguu kwenye paja kwa muda ya miezi mi 2 sasa na tatizo hlo limekuja gafla tu, cjawah kudondoka au kupigwa na kitu.. Maumivu yanakuja pindi ninapokaa au nipolala au kugeuka wakati nimelala..

Maumivu hayo si makali ni ya kawaida tu,nimejaribu kwenda hospital wakanipa dawa ya kuchua,nimetumia dawa hyo ya kuchua bado nikaendelea kupata maumivu, nikarudi tena hosptal nikapiga X ray, ila. X ray ikaonyesha sina shida yoyote..

Doctor alinishauri nifanye mazoez na kunipa dawa ya misuli, lakin nimekuwa nafanya mazoezi mda sana...

Naombeni msaada
 
We ni wa kike au kiume
 
Back
Top Bottom