Naomba Msaada jinsi ya kuwa mjanja ushamba umenizidia.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,068
10,557
Mimi BabaMorgan ni mshamba licha ya kuwa nimezaliwa jijini(Amana Hospital-Ilala) huko Dar es salaam ila kwa sasa naishi huku kaskazini magharibi ushamba wangu unaanzia kwenye lafudhi licha ya kuzaliwa Dar es salaam kitu cha kustaajabisha nina lafudhi ya kisukuma na ulimi mzito kiasi kwamba nitarudia zaidi ya mara tatu kutamka kwa usahihi neno Experience na shida haipo pekee kwenye maneno ya malkia bali hata kiswahili ni changamoto kitu kinachopelekea washamba wenzangu wa huku kaskazini kutoamini kubwa nimetokea Dar es salaam.

Ushamba wangu mwingine ni kwenye mavazi japo uchumi sio mzuri ila vichenji vya kununulia nguo zipo ila nguo nazofaa kazini ndizo nazifaa mtaani kila nikijaribu kununua nguo zinazoenda na wakati najikuta mawazo yanabadilika naenda mtumbani kununua kodirai za 1500 na ma t-shirt na kibaya zaidi siyapunguzi nayavaa hivyo hivyo hadi kupelekea watu kuniona kama dish langu limecheza.

Sijawahi kufanya birthday party na ninapoalikwa sehemu za starehe nakuwa mgumu kwenda sababu sipendi kuwaona wanawake wanaovaa suruali na wasio ogopa wanaume.

Ushamba wangu mwingine upo kwenye chakula napenda sana ugali wa dona, mihogo, viazi na maboga upande wa mboga napenda sana sukuma wiki, uduvi, maharage, na mlenda kuna siku nilienda kwa mjomba nilishindwa kula mkate wa siagi ilibidi niende kutafuta mihogo na kumuomba msaidizi wake wa ndani anisaidie kuichemsha.

Wajanja wa Jamii forum mnisaidie kimawazo na mimi nataka kuwa kama nyinyi umri wangu bado mdogo nimechoka kufananishwa na wazee.

From northern part of Tanzania.
 
Kuna ushamba halafu Kuna lifestyle,na Kama unataka kuwa mjanja nenda uchukue kamusi sanifu angalia maana ya neno mjanja halafu ishi kulingana na hiyo maana. Halafu baada ya siku mbili tatu uje utoe ushuhuda wako hapa juu ya maisha ya kijanja.
 
Mimi BabaMorgan ni mshamba licha ya kuwa nimezaliwa jijini(Amana Hospital-Ilala) huko Dar es salaam ila kwa sasa naishi huku kaskazini magharibi ushamba wangu unaanzia kwenye lafudhi licha ya kuzaliwa Dar es salaam kitu cha kustaajabisha nina lafudhi ya kisukuma na ulimi mzito kiasi kwamba nitarudia zaidi ya mara tatu kutamka kwa usahihi neno Experience na shida haipo pekee kwenye maneno ya malkia bali hata kiswahili ni changamoto kitu kinachopelekea washamba wenzangu wa huku kaskazini kutoamini kubwa nimetokea Dar es salaam.

Ushamba wangu mwingine ni kwenye mavazi japo uchumi sio mzuri ila vichenji vya kununulia nguo zipo ila nguo nazofaa kazini ndizo nazifaa mtaani kila nikijaribu kununua nguo zinazoenda na wakati najikuta mawazo yanabadilika naenda mtumbani kununua kodirai za 1500 na ma t-shirt na kibaya zaidi siyapunguzi nayavaa hivyo hivyo hadi kupelekea watu kuniona kama dish langu limecheza.

Sijawahi kufanya birthday party na ninapoalikwa sehemu za starehe nakuwa mgumu kwenda sababu sipendi kuwaona wanawake wanaovaa suruali na wasio ogopa wanaume.

Ushamba wangu mwingine upo kwenye chakula napenda sana ugali wa dona, mihogo, viazi na maboga upande wa mboga napenda sana sukuma wiki, uduvi, maharage, na mlenda kuna siku nilienda kwa mjomba nilishindwa kula mkate wa siagi ilibidi niende kutafuta mihogo na kumuomba msaidizi wake wa ndani anisaidie kuichemsha.

Wajanja wa Jamii forum mnisaidie kimawazo na mimi nataka kuwa kama nyinyi umri wangu bado mdogo nimechoka kufananishwa na wazee.

From northern part of Tanzania.
Umetumia njia nzuri sana kufikisha ujumbe wako , wajuzi wa fasihi walishaeleweka
 
Ushamba wangu mwingine ni kwenye mavazi japo uchumi sio mzuri ila vichenji vya kununulia nguo zipo ila nguo nazofaa kazini ndizo nazifaa mtaani kila nikijaribu kununua nguo zinazoenda na wakati najikuta mawazo yanabadilika naenda mtumbani kununua kodirai za 1500 na ma t-shirt na kibaya zaidi siyapunguzi nayavaa hivyo hivyo hadi kupelekea watu kuniona kama dish langu limecheza.
Ni kitu gaani, unaweza kuweka picha yake tuone
 
Si useme tu mkuu unawesema wasukuma
 
Unataka feature za uanaume wa dar
Kwa kuzaliwa mimi ni Mwanaume wa Dar es salaam ila kinachoniumiza ni kwa nini? au na kwama wapi? sipo kama wenzangu je mimi ni chongo ndani ya nchi ya wasio ona.
 
We nani alikuambia kwamba ukizaliwa dar es salaam ndio hauwi mshamba?😆😆
 
Back
Top Bottom