Msaada wa Connection ya Internship in IT

Tariq f

JF-Expert Member
Dec 11, 2021
233
345
Habari wakuu,

Mimi ni mwanafunzi wa Chuo X, nikisomea shahada ya Habari na Mawasiliano maarufu kama IT ( Information Technology ) hapa Dar Es Salaam.

Bado sijamaliza degree yangu nipo mwaka wa pili nikiendelea kupambana na kitabu.
Licha ya hayo napenda zaidi kufanya kazi au kujitolea ( Internship ) mahala fulani.
Naamini itanipa Experience, exposure, na gainings kwa kiasi kikubwa sana.

Kuhusu ujuzi au maarifa ni mzuri kwenye Programming ( PhP, Java, JavaScript na C ), Web Developments na Hosting, Fast keyboard typing, window installation and Printer Connection, ufundishaji wa Computer na Uwezo wa kutumia Microsoft zote.

Nina nidhamu ofisi na ni mpambanaji sana.

Nipo Tabata, Dar Es Salaam.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom