Naomba mnisaidie kupendekeza jina zuri na 'unique' la mtoto wa kiume wa Kiislam

Nyie malimbukeni mnaoshadadia majina, jina ni utambulisho tu, halina chochote cha maana.
Utopia tu imewajaa vichwani.
Karne ya 21 bado kuna wanao amini kuwa kuna majina mazuri na mabaya upumbavu umewajaa tele mnashindwa kubatiza majina ya babu zenu mnakazania babu wa wenzenu.
Lini wazungu na warabu na wahindi wataiga majina yenu.
Kuna mengine yamesoma mpaka PhD bado yana amini kuwa majina yana ngekewa upumbavu tu.
Samahani kama nimekuudhi mpenda majina ya warabu ila uongo kwangu mwiko.
Naendelea kujifunza mkuu Kwahiyo shukran kwa somo hili
 
Dini ya Kiyuda ndiyo dini kongwe kuliko zote kuandikwa kwenye vitabu.
Judaism ilikuwepo kabla ya Ukristo na Uislamu.

Torati na Zaburi vyote ni vitabu vya Kiyuda, Ukristo na Uislamu wameiba vitabu hivyo.
Hujajibu swali langu.
 
Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Feisal Salum alias Fei toto
 
Alqaida

Mpe Emmanuel
 
Ni Assad to jamaa..maana anaweaza kuwa na misimamo na kukosa kabifa uchumiatumba kama Proffesor Assad..
 
Aysar
Ethan
Ivan
Moudric
Zaid
Jameel/Jamaal
Zulfikkar
Ayman
Salman/Msalam
Elvis
Alvin
Heri
Mussa
Issa
Irfan

Naaman
 
Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Kwanini usimpe jina la Kitanzania?
 
1.OSAMA
2.GADAF
3.AMIN
4.SADDAM
5.Mullar

chagua hapa utakuja nikumbuka
 
Back
Top Bottom