Hujajibu swali langu.Dini ya Kiyuda ndiyo dini kongwe kuliko zote kuandikwa kwenye vitabu.
Judaism ilikuwepo kabla ya Ukristo na Uislamu.
Torati na Zaburi vyote ni vitabu vya Kiyuda, Ukristo na Uislamu wameiba vitabu hivyo.
Feisal Salum alias Fei totoWanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Huyo Mwamed noooma bora Mohamed au Moo lakini Mwamed achana naye aiseeMwamedi,Aladin,
Iblis oooooh sorry Idris!
hahahahaha hiyo Mwamedi inasound Kwa lafudhi ya kisukuma Zaidi Mkuu!Huyo Mwamed noooma bora Mohamed au Moo lakini Mwamed achana naye aisee
Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Mpe EmmanuelWanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Ni Assad to jamaa..maana anaweaza kuwa na misimamo na kukosa kabifa uchumiatumba kama Proffesor Assad..Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Kwanini usimpe jina la Kitanzania?Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Hakika mkuu, nitampa jina hiloNi Assad to jamaa..maana anaweaza kuwa na misimamo na kukosa kabifa uchumiatumba kama Proffesor Assad..
huwa weng hatuelew taliban livunje vunje.unaposikia neno Taliban linatokana na neno Talib_ mwanafunzi.Duh! Sasa si itakuwa anakaa mahabusu maisha yake yote? Anyway thanks alot