Nurudin Jr
Senior Member
- May 25, 2017
- 180
- 99
- Thread starter
- #41
Natumia Tecno y4 mkuu vipiOya member unatumia simu aina gan?
Natumia Tecno y4 mkuu vipiOya member unatumia simu aina gan?
Nishagoogle mkuu nimepata mambo mengi mnoMmmh Jaribu hata kugoogle mkuu
AhsanteNenda youtube utayapata maujanja huko.
We unatumia sm feki pia auHii inawezekana kwa masimu feki,famba a.k.a fekero
Bofya hapo kwenye link ya blue ukasome mwenyeweMbona maelezo mafupi sijaelewa
install and make yourAndroid like iphoneOya member naomba mniambie maujanja gani naweza kuyafanya katika simu yangu ikaonekana tofauti na ambavyo ilikuwepo ikiwa mpya?
Maana naskia mtu unaweza kuifanya simu yako ambayo inasaport 3G ukaibadilisha muonekano wa 3G na ukawa unaonyesha Network inasoma 4G lakini ni feki je ni kweli na kama kweli nafanyaje? Naomba mnipe maujanja hapa naimani ntanijuza maujanja mengi,,, Nihayo tu Asante na karibuni sana.
Tuko pamojaAsante sana kaka
Shukrani sana nimebadilisha muonekano wa simu yangu kwa hizi link ambazo umenipa rahisi sana sijapata kazi yoyote ubalikiwe tena na tena hadi ushangaeTuko pamoja
Here we areSio kila mwanamke lazima umpende.
Hata nisipopendwa nae jua wapo wenzio wanaonipenda tena Sana.
Thank you. Cheers.Here we are