Naomba mnifahamishe maujanja tofauti katika simu

Naomba mnifahamishe maujanja tofauti katika simu

Oya member naomba mniambie maujanja gani naweza kuyafanya katika simu yangu ikaonekana tofauti na ambavyo ilikuwepo ikiwa mpya?

Maana naskia mtu unaweza kuifanya simu yako ambayo inasaport 3G ukaibadilisha muonekano wa 3G na ukawa unaonyesha Network inasoma 4G lakini ni feki je ni kweli na kama kweli nafanyaje? Naomba mnipe maujanja hapa naimani ntanijuza maujanja mengi,,, Nihayo tu Asante na karibuni sana.
pitia huu uzi
Tushirikishane hapa maujanja kwenye simu za Android
 
Yangu nayo niliifanyia maunjanja sasa hivi napata burudani kabambee...... ilikuwa na storage ndogo nimefungua na kuchomelea nyaya mbili ambazo nje nimeunganisha External Hard Disk pia nimeweka na RAM nyingine sasa ina RAM GB 9 inapiga kazi vizuri tu.
Duh iyo Kali aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom